field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 2,061
- 4,686
Hatushangilii vita ila kwa alivyo huyo mama yako Kitambi Samia, hatuwezi kuvumilia nchi yetu kukaliwa na majambazi. Samia na wauaji wenzake waondoke....HATUWATAKI HATA KIDOGO.Kipindi vita vya iran vinaanza tulishangilia sana, niliamini, sisi hatuhusiki, kumbe ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji.
Ona sasa achana na bei ya mafuta kupanda, Kuna hii timua timua makazini, acha tu, bado bidha kupanda na kazi imesimimama, polepole mtafikiwa, nyie chekeni.