Mkuu si mnatuambia Hamas anashinda vita? Misri na Jordan waliwahi kupigana vita ambayo Israeli aliteka maeneo ya nchi hizi. Egypt alikaa mezani akaomba arudishiwe eneo la mlima Sinai. Kwa historia hii, Misri au Jordan hawatataka vita nyingine na Israeli. Vita ya Gaza isikidanganye, hapo Israeli anapiga kwa ustaarabu, kwa kulinda raia.
Ikiwa ni vita proper, ndio utaona vita ya kweli ya Israeli, huyo hata Waarabu wakiungana bado hawamuwezi, ana super nuclear ya kuchoma Middle East yote.
Sent from my SM-A6050 using
JamiiForums mobile app