Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado anaipima Israel kwa vipimo vya 1973.Hamas tu wana droni na server za chini ya ardhi mwaka huu.Hicho ni kikundi tu kilichozingirea kila pembe na kukatiwa kila kitu.Utasemaje kuhusu Yemen na Hizbullah.Unadhani Israel wana uwezo tena wa kupigana na haoLeo 2024 unazungumizia mambo ya 1973
Airforce bora duniani tumeiona ikitumika Gaza kwenye RPG peke yake na imeshindwa kazi.Ndugu huwezi kulaumu nchi yoyote kwa matendo ya hamas, unataka nchi za kiarabu zifanye nini? Hizo nchi za kiarabu zikiingia vitani zitaweza kufua dafu mbele ya
Israel yenye air force bora duniani huku akipata back up ya USA, Britain, France, Canada ? Hayo anayoyasema nchi za kiarabu walishafanya wakaangukia pua mwaka 1967 na 1973 na ukumbeke kipindi hicho Israel ilikuwa bado inajitafuta kiuchumi na kijeshi.
Kwani kuna anaekufa akawa hajioni?Unataka wafe wanajiona?
MythsNdugu huwezi kulaumu nchi yoyote kwa matendo ya hamas, unataka nchi za kiarabu zifanye nini? Hizo nchi za kiarabu zikiingia vitani zitaweza kufua dafu mbele ya