Ndugu huwezi kulaumu nchi yoyote kwa matendo ya hamas, unataka nchi za kiarabu zifanye nini? Hizo nchi za kiarabu zikiingia vitani zitaweza kufua dafu mbele ya
Israel yenye air force bora duniani huku akipata back up ya USA, Britain, France, Canada ? Hayo anayoyasema nchi za kiarabu walishafanya wakaangukia pua mwaka 1967 na 1973 na ukumbeke kipindi hicho Israel ilikuwa bado inajitafuta kiuchumi na kijeshi.