Wanasoma/tunasoma sana shida yako unadhani Quran inasomwa kama gazeti, haipo hivyo ndg na ingekuwa hivyo unavyosoma wewe, all muslims mngekuwa na bara lenu.
Au arabs wote wasingekimbilia ulaya kutafuta maisha good, mfano kule Zanzibari wanaoingiza pesa nyingi hadi serikali inatengeza bajetu ni hao Christian kuliko ndg zako kiimani.
Siungi mkono Israel ila hata Waislam huwa mnachukuliana ni ndugu sisi wengine ni watu baki.
Narudia tena mimi natamani Palestina wapate taifa lao. Vita ya Israel la Palestina mimi siitazami kwa msingi wa dini ila wa haki