sasa mtu anaandika"corona yaua maelfu dsm"Huwa hata hamsomi zaidi ya sentensi moja kabla kujibu shombo na kukimbia, ila jamaa huwa hawachoki bado wanaandika, kwanza leo dah yaani wameandika hadi basi, inaonyesha matumaini hampo vilaza nchi yote kunao wanaotumia ubongo.
Mitano ijayo pilot atakua mwana sheria mbobezi
sasa mtu anaandika"corona yaua maelfu dsm"
unamjibu nini zaidi ya kumpa kibano cha mbwa malaya mla mayai.
Hao tunawajibu kwa vitendo kwa sababu wapo ndani ya tzHuwa nasoma sana kule, hampo kabisa mumefutwa na kukimbilia huku kwa Wakenya, kule huwa mnajibu shombo na kukimbia, unakuta mtu ameandika bango limesheheni nondo tena lefu balaa, mataga mnatangulia na kutupia maneno machache yanayonuka shombo na kukimbia hoja. Kwa kweli kama mnalipwa huwa hamtendei haki hizo hela, ingepaswa mbanane nao kwenye hoja.
kila mtu ana haki ya kuongea, hata vichaa wanaongea ila hawajibiwi.Ya kupukutika kwa corona mlikua mkiyasema wenyewe, muulize Bashite kipindi kile hamkua mumejichokea.
Hakuna usiku usiokuchaDah! Hapo mnaweza mkatukamata, ila kwa namna mnavyonyimwa nyimwa fomu na kuenguliwa kule majimboni ni dhahiri miaka ijayo mitano bado mtakua kule kule hamna jipya. labda muanze upya 2025.
Yaan miaka ya 80 tulikua tuna lead hongera nyerereMabadiliko haya ya kiuchumi yakitazamwa na mabadiliko ya kihistoria na uongozi yanaweza kutuonyesha ni kitu gani kinaweza kusababisha uchumi kuimarika au kusambaratika.
Umekua za wapi Sky?Hakuna usiku usiokucha
Niko bongo ninafikiria biashara ya kuleta sukuma wiki Kenya.Umekua za wapi Sky?
Hizi hesabu inatakiwa akili kubwa zilizotulia kuzielewa.Fools comparing apples to oranges
Tz: 2020 GDP = $62B, Debt = $23b
ke: 2015 GDP = $64B, Debt = $30b
Tanzania is at the same GDP level with kenya 5 years ago but with less debt and more growth 6.7 % vs 4.7%.
Tz also enjoys less Taxation 13% of GDP vs Kenya's 19% GDP
As you can see, Kenyans are overtaxed, Overdebted while producing the same GDP as Tanzanians.
Kwa kifupi, wakenya hufanya kazi kulipa kodi na kulipa mikopo ya Mzungu
You're actually behind Kenya 5 years ago - lol. 5 effing years ago.😂😂Fools comparing apples to oranges
Tz: 2020 GDP = $62B, Debt = $23b
ke: 2015 GDP = $64B, Debt = $30b
Tanzania is at the same GDP level with kenya 5 years ago but with less debt and more growth 6.7 % vs 4.7%.
Tz also enjoys less Taxation 13% of GDP vs Kenya's 19% GDP
As you can see, Kenyans are overtaxed, Overdebted while producing the same GDP as Tanzanians.
Kwa kifupi, wakenya hufanya kazi kulipa kodi na kulipa mikopo ya Mzungu
Na mafao je?Mwalimu yupi anadai mshahara?
1999-2004 Tz ilikuwa kiongozi was EAC kiuchumi lakini kwa wakati Huu Kenya ndio kiongozi akifuata Ethiopia.But truth is tz ndiyo inaongoza kwa GDP ya kweli kama uniamini subiri mwaka wa uchaguzi Kenya ndiyo utakuwa mwisho wa ubishi maana mabeberu wrote wataimba wimbo wa tz na magufuli believe me.
Nikama mnavyo jidanganya kuhusu Ghana kuzidi tz wakati hata Ethiopia hakuna kitu zaidi ya mji mmoja tu. Kumbuka miaka ya 1995 hivi tulikuwa wa 3 Africa kwa umasikini sasa piga hesabu unitajie nchi yoyote Africa na Ulaya iliyo weza kuliga hatua kama tz, had I huu mwaka kumalizika wenyewe mtakubari tu kuwa wa tz no bongo land nchi ya akili mingi.
Nilichogundua kwenye hiyo animation,Mwinyi na Kikwete ndio waliirudisha nyuma TANZANIA, yaani kutoka 1995-2005, Tanzania ilipaa kw kasi ya kutisha, na hatukupitwa na nchi yoyote, Ila alipoingia Kikwete, mpaka Sasa, tunasuasua, na ndio maana Wakenya wanamsifu humu, yaani hapa, Mwinyi na Kikwete ndio tatizo kwa Mwinyi,T Z iliporomoka mpaka tukapitwa na Uganda!Yaan miaka ya 80 tulikua tuna lead hongera nyerere
Na miaka ya mkapa Sasa Hawa wengine ndo shida
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Tanzania is second last in this list when it comes to GDP per capita.Jamaa mwaka huu hadi Ghana , nchi ya watu 29 million imewapita . Kidogo DRC iwapite. Nchi ya wazembe.
List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia
Watu maskini pekee ndio wanasamehewa deni, Kenya sio maskini kama Tanzania.Kwani nyinyi hamjawahi samehewa?
Magufuli sio tatizo? Remember Magufuli got into power when the GDP gap between Kenya and Tanzania was only 15 b dollars, right now the gap has increased to 47b dollars. What is Magufuli doing?Nilichogundua kwenye hiyo animation,Mwinyi na Kikwete ndio waliirudisha nyuma TANZANIA,yaani kutoka 1995-2005,Tanzania ilipaa kw kasi ya kutisha,na hatukupitwa na nchi yoyote,Ila alipoingia Kikwete,mpaka Sasa,tunasuasua,na ndio maana wakenya wanamsifu humu,yaani hapa,Mwinyi na Kikwete ndio tatizo kwa Mwinyi,TZ iliporomoka mpaka tukapitwa na Uganda!
Hawa jamaa wangejua uwekezaji unaoendelea, wasingeongea kabisa. Nadhani hivi karibuni kinafunguliwa kiwanda cha nyama kikubwa kuliko vyote East and Central Afrika. Kikianza kufanya kazi sijui kama mbuzi watakanyaga Kenya.Uchumi sio kama siasa za kupayuka na kuruka ruka tu....jua kwamba uwekezaji wa kimkakati unao fanyika utatoa majib mapema sana, wewe kuwa mpole tu sindano zitaingia hata kwa lazima.
Kuna kipindi mliwekeza kwenye miundo mbinu, sasa msilewe sifa na hiyo payoff mnayo experience.
huyu amegundua hatutakiwi kupitwa tena, ndio sababu anaimarisha turbo kwanza.Magufuli sio tatizo? Remember Magufuli got into power when the GDP gap between Kenya and Tanzania was only 15 b dollars, right now the gap has increased to 47b dollars. What is Magufuli doing?