mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
sasa mtu anaandika"corona yaua maelfu dsm"Huwa hata hamsomi zaidi ya sentensi moja kabla kujibu shombo na kukimbia, ila jamaa huwa hawachoki bado wanaandika, kwanza leo dah yaani wameandika hadi basi, inaonyesha matumaini hampo vilaza nchi yote kunao wanaotumia ubongo.
unamjibu nini zaidi ya kumpa kibano cha mbwa malaya mla mayai.