Vita vya GDP Afrika Mashariki ni Kati ya Kenya, Ethiopia na Tanzania tangu 1980. Nafasi ya kwanza inaeza nyakuliwa na nchi hizi tatu

huyu amegundua hatutakiwi kupitwa tena, ndio sababu anaimarisha turbo kwanza.

baada ya miaka 10 ijayo ndio utapata jibu alikuwa anafanya kitu gani kama ulivyomwelewa kwenge corona baada ya miezi 5 leo.
Kwani hii miaka yenu kumi huwa haifiki? Nilianza kusikia miaka kumi ijayo since 1990`s. We are in 2020 and you are still singing miaka kumi ijayo.
 
Kwani hii miaka yenu kumi huwa haifiki? Nilianza kusikia miaka kumi ijayo since 1990`s. We are in 2020 and you are still singing miaka kumi ijayo.
Kwani hujaanza kufeel the pinch[emoji23][emoji23][emoji23]

Kitu gani mmebakiza mbele yetu zaidi ya GDP?
 
kwani hujaanza kufeel the pinch[emoji23][emoji23][emoji23]

kitu gani mmebakiza mbele yetu zaidi ya GDP??
Hawa wa humu ni watoto, ego, na denial stage [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivyo usitegemee akupe jibu ila ukweli mchungu wa kinachoendelea nchini kwake anaufahamu.
 
Hawa wa humu ni watoto, ego, na denial stage [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hivyo usitegemee akupe jibu ila ukweli mchungu wa kinachiloendelea nchini kwake anaufahamu.
Wako kwenye mazingira yale kukubali nitaonekanaje, kukataa nitaonekana muongo. wacha nijibu upupu tu.
 
sisi hatuna tatizo, endeleeni kuongoza au vipi[emoji1][emoji1][emoji1]
Mtazidi kusoma namba.
Kenya has a total tarmacked roads of around 21,000km while Tanzania only has 9,000km.
Mombasa port is better and more efficient than all your ports combined.
JKIA handles twice the number of all Tanzanian airports placed together.
Kenya health system is far much ahead of Tanzania
Kenya`s education is ten times better than yours.
 
wako kwenye mazingira yale kukubali nitaonekanaje, kukataa nitaonekana muongo. wacha nijibu upupu tu.
Huwa wanajitoa ufahamu wakiulizwa jambo lolote humu na ndio maana usitegemee kupata jibu linaloeleweka kutoka kwao,

Mkoloni aliondoka na akili zao.
 
Kwani si nimekubali mnatuzidi!!!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]

Hujakubaliana kabisa na msimamo wangu.
 
Huyu amegundua hatutakiwi kupitwa tena, ndio sababu anaimarisha turbo kwanza.

Baada ya miaka 10 ijayo ndio utapata jibu alikuwa anafanya kitu gani kama ulivyomwelewa kwenge corona baada ya miezi 5 leo.
Mlianza kuongelea hii miaka kumi back in 2009. Bado haijaisha?
 
fact ipi??

hiyo ya kusema mko vyema sekta ya afya kutuzidi[emoji3][emoji3]
halafu mnashindwa kulipa wauguzi?
Wages are more of an administration sector than the health sector.
 
Wages are more of an administration sector than the health sector.
Nikikuita mbuzi ntakosea kweli!! au wewe ni kuku basi heri mbuzi.

Taasisi iliyoimara na imeendelea haingiliwi utendaji na mamlaka wewe. Kama mnawasumbua wauguzi kwenye malipo, mtawafanya nini wanapoomba funds kwa ajiri ya kuendesha shughuli zao za utabibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…