Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Kwani hii miaka yenu kumi huwa haifiki? Nilianza kusikia miaka kumi ijayo since 1990`s. We are in 2020 and you are still singing miaka kumi ijayo.huyu amegundua hatutakiwi kupitwa tena, ndio sababu anaimarisha turbo kwanza.
baada ya miaka 10 ijayo ndio utapata jibu alikuwa anafanya kitu gani kama ulivyomwelewa kwenge corona baada ya miezi 5 leo.