Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
- Thread starter
- #21
shutuma zote hizo kumbe ni utan???
Itapendeza km mtafanyiana utan mkiwa nyiny kwa nyiny unapoleta jamvin kwenye watu mchanganyiko unaweza sababisha taharuki.
Muuza Viatu,shutuma zote hizo kumbe ni utan???
Itapendeza km mtafanyiana utan mkiwa nyiny kwa nyiny unapoleta jamvin kwenye watu mchanganyiko unaweza sababisha taharuk
Umempa ndugu yetu ushauri mzuri sana.
Mimi si mtu wa kughadhibika nilisoma nikacheka.
Hii mosi.
Pili mimi si Mzaramo ni Manyema.