Vita Vya Iran na Marekani: Iran Taifa la Mashahidi na Mashujaa

Asante sana, mzee Said, dunia sasa sio enzi za mawe kitakacho sikika cnn na BBC ndio news walituchezea sana hawa
 
Akina Sykes hawajawahi kuisaidia Iran kama mashahidi na mashujaa? 😂😂😂
Tonny,
Sykes wamesaidia Iran kupitia msaada wao kwangu.

Mimi ningeweza kuwa mwandishi na nikaandika vitabu vingi.

Lakini ule uamuzi wa Ally Sykes kunifungulia nyaraka za familia yao na kuniruhusu kuandika kitabu cha maisha ya kaka yake Abdulwahid Sykes umenisaidia kuandika kitabu kilichobadili maisha yangu.

Kitabu kikabadili na historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Baada ya kitabu kuchapwa Uingereza na kuingia nchini wasomaji wakajikuta wanasoma historia ambayo ilishangaza kila mtu.

Kitabu kikapendwa kupita kiasi kikajadiliwa katika Cambridge Journal of African History mwandishi akapata mialiko mingi na kuingizwa katika miradi mikubwa ya uandishi na ya uchapaji wa vitabu vya historia.

Hivi ndivyo nikawa mtu maarufu wa kualikwa vyuo vikuu ndani na nje ya Tanzania na kwengineko.

Hivi ndivyo nilivyofika Iran.

Leo naieleza Iran wewe unaisoma hapa JF.

Chanzo cha haya yote ni mimi kuandika historia ya maisha ya Abdul Sykes kijana mdogo wa umri wa miaka 26 aliyekutana na Jomo Kenyatta mwaka wa 1950 na Julius Nyerere mwaka wa 1952.

Huu ndiyo mchango wa Sykes kwa Iran kupitia kwangu.
 
Ndugu zanguni,
Huyu ndugu yetu hakuwa na swali ila alitaka kufanya kejeli.
Mwisho wa swali lake kaniwekea "emoji" ya mtu anacheka.

Mimi huwa sijibu mtu akinutukana lakini kejeli hujibu mfano
wa kama nilivyomjibu huyu ndugu yangu.

Hajarejea yuko kimya.

Namsubiri In Shaa Allah tuendelee na mjadala wa Sykes katika uzi
wa Vita Vya Marekani na Iran.
 
Mdini mkubwa. Useless
Economist,
Kweli unatamani historia ya Mwalimu Nyerere na uhusiano wake na watu wa Dar es Salaam isingekuwapo?

Hukupendezewa kusoma historia ya Abdul Sykes, Sheikh Hassan bin Ameir, Said Chamwenyewe, Sheikh Suleiman Takadir, Tatu bint Mzee.

Mbona watu wengi wamefurahishwa na historia hii?
 
Back
Top Bottom