Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

Vita Vya Iran na Marekani: Marekani Yasalimu Amri: Kila Mchuma Janga Hula na Wakwao

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
23,526
Reaction score
34,057
Mohamed Said anakumbuka wimbo waliokuwa wakiimba utotoni huko Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, walipokuwa wakicheza kwenye mapembea:
  • "...tukikaa kwenye kile tulikuwa tunaimba mchimba kisima akaingia mwenyewe wewe kaingia mchimba kisima ndoa hii mchimba kisima kaingia mwenyewe fedha hii...".
Muktadha wa Kisiasa (Marekani na Iran) Anatumia nukuu hiyo kufananisha na hali ya kijeshi na kadiplomasia ya Marekani nchini Iran:
  • "...marekani kajiletea mwenyewe na kichekesho kikubwa ni kuwa wanasema marekani na dunia nzima inasema kuwa marekani kaingizwa kichaka kaenda kumpigania vita vyake na mu Israeli sasa hivi yuko pembeni".
  • Anasema kuwa Marekani sasa "amesinyaa" na hajui la kufanya baada ya vituo vyake vya kijeshi kupigwa na rada zake kuharibiwa.
  • Hali hii inafananishwa na mwizi aliyeingia kwenye nyumba kufanya uhalifu, lakini anapotaka kutoka anakuta milango yote imefungwa na hawezi kutoka kwa heshima.
Kwa ufupi, nukuu ya "mchimba kisima" inatumika kuonyesha kuwa Marekani imejitumbukiza kwenye mtego wa vita ambavyo haina uwezo wa kuvishinda wala kutoka kirahisi, huku ikionekana kupigania maslahi ya Israel ambayo kwa sasa "iko pembeni" ikitazama


View: https://youtu.be/yDqxeoNxmdE?si=deKxsAcOPe8n2N8D
 

Attachments

  • Iranian leaders.jpg
    Iranian leaders.jpg
    41.3 KB · Views: 16
Eti US kasalimu amri😁😁😁

Huwa kila siku nawaambia humu hakuna islamist au radical jihadist yoyote duniani anaetumia logic.

Ni watu wa mihemuko na mambo ya kufikirika

Mtu kama huyu anadanganya watu ili tu atimize kiu yake ya ki-jihad alionayo ndani yake
 
Eti US kasalimu amri😁😁😁

Huwa kila siku nawaambia humu hakuna islamist au radical jihadist yoyote duniani anaetumia logic.

Ni watu wa mihemuko na mambo ya kufikirika

Mtu kama huyu anadanganya watu ili tu atimize kiu yake ya ki-jihad alionayo ndani yake
Hii ni maajabu

NB.
Wakuu bikra (72) Zina isha uko Peponi tuwahi tuwahi
 

Attachments

  • 20260228_233047.jpg
    20260228_233047.jpg
    868 KB · Views: 13
  • 20251001_104224.jpg
    20251001_104224.jpg
    340.1 KB · Views: 15
Back
Top Bottom