Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Swadakta. Marekani kachapika sio kitoto
Sasa viishe,tunaumia Sisi pia mafuta bei juu,maisha juu!
Hongera Iran kwa kuvishinda hivi vita
Hii ni maajabuEti US kasalimu amriπππ
Huwa kila siku nawaambia humu hakuna islamist au radical jihadist yoyote duniani anaetumia logic.
Ni watu wa mihemuko na mambo ya kufikirika
Mtu kama huyu anadanganya watu ili tu atimize kiu yake ya ki-jihad alionayo ndani yake
ππ₯Hii ni maajabu
NB.
Wakuu bikra (72) Zina isha uko Peponi tuwahi tuwahi