Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Akili zako ndogo Sana
 
mzee wangu kwa kuwa ulipigana katika hii vita, nitafarijika sana kama utaeleza mchango wa special forces za jwtz wakati wa vita ya tanzania-uganda.

miaka ya hivi karibuni hawa watu tumekuwa tukiwaona kwenye tv wakati wa sherehe za kitaifa wakifanya mbwembwe zao za kuvunja matofali na kadhalika. hii imepelekea wengine kubeza uwezo wao kwenye uwanja wa vita.

ni mchango gani wa kimedani askari hawa maalum(makomandoo) wa jwtz walitoa katika kusadia majeshi yetu kuyashinda yale ya uganda?.

tactically ubora wao ulikuwa ktk eneo gani ktk vita hii?.

natanguliza shukrani.
 
Sijui unamsema nani; baba yake Faraja Kotta ni Brigadier General Kotta; alikuwa mtaalam wa mizinga (Long Range Gun Artilleries na Howitzers) jeshini, na alifariki mwaka 2008. Sasa sijui wewe uligombea naye maharage lini.
namaema mtoto bana huyo brigedier wapi na wapi..
 
Duh, vipi kama Amin angewithdraw na kurudi kuja kupigania katika ardhi yetu? Umewaza Hilo pia?
 
Kwanini tukienda China tunapita Kipawa si tunaweza kunyoosha tu kupitia Ubungo.
Ukiwa na usafiri wa helikopta unanyooka tu!! kipawa tunakwenda stand ya ndege!!!......lkn kure hakuna cha stand wala uwanja wandege !! tulikwenda tu kuzunguka basi!!
 
Hizi ni propaganda tu ili kufunika kombe.... Anyway wewe ni mzalendo.

Kama Mwl asingewaruhusu kina Okello, M7 kutumia ardhi ya Tz kuendesha uasi wa silaha dhidi ya Uganda, basi Iddi Amin asingepata sababu ya kuanzisha Vita na Tz.
Hilo Idd Amin mwenyewe hakuwahi kusema, unakuja kulitamka wewe sasa![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, kwani wewe ungekua Rais wa wakati huo wa TZ ungefanya maamuzi gani? Nchi yako imevamiwa ardhi ya kagera inatangazwa ni sehemu ya Uganda na mpaka mpya unatangazwa kinyume na sheria. Wewe ungefanyaje?
Hawa Udini unawafanya wawe wapumbavu. Wanaona Nduli Idd Amin alikuwa mtume na nabii, na hivi alivyofia Saudia arabia ndio baasi!
 
Ndio maana wamarekani walimtumbukiza bahraini shetani Osama bin Laden, walijua wafuasi wa dini fulani wangegeuza kaburi lake eneo takatifu!!
 
Yaani Shetani Idd Amin pamoja nakupigwa vibaya na kwa aibu namna ile hadi akafia ugenini asiseme kuwa sababu ya yeye kuteseka ndio hiyo uliyosema!!?

Acheni udini, unawafanya muwe wajinga
...haya bhana....wewe utakuwa mmoja wa 'maveterani' wa Vita...siwezi kupinga ulichoandika.
 
Huu uzi nilipouanzisha kuna watu waliona kama hauna maana. Ila umekuwa mpaka pg 27 na hoja zilizoshiba. Yule mwinye poat #2 ana like 30+ wakati watu wenye nondo zilizoshima kama mzee wangu Kichuguu wanampita tu.
 
Mzee wangu alipigana hii vita anakiri kwamba tulipoteza watanzania wengi sana na kibaya zaid hao migambo ndo walikua wanawekwa frontline kama chambo weng hawakua na ujuzi,anasimulia wengi walikua wanarukwa wanakimbilia upande wa adui kama vile wamerukwa na akili,hali ilikua mbaya sana uwanja wa vita idadi kamili ya vifo ilifichwa...mzee alipata bahat kurud mzima na aliporud alikaa miez 6 sita akitibiwa kimila ndo akarud kwenye utimamu,muda wote alikua akiskia milio ya mabomu na risasi na halafu ya damu
 
Naomba kujua kwenye uwanja wa vita mafuta yanasafirishwaje ? Au ni mwendo wa kuteka vituo vya mafuta mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…