Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

Yaani ndugu yangu bado huamani kuwa hata mimi nilikuwa askari tena nikiwa katikati ya mawasiliano kwa hiyo hao wengine waliokuambia ndio unawaamini tu? Pamoja na kukueleza kuwa kikosi kilichokuja kutoka msumbiji kilikuwa ni cha askari wa Tanzania ambacho kilikuwa ni sehemu ya Brigade ta Tembo; kabla ya vita kilikuwa kinafundisha jeshi jipya la msumbiji kikalazimika kurudi nyumbani kuungana na wenzao.

Elewa kuwa Tanzania tulikuwa na BM-21 launchers chache sana zisizofikia 10 na huenda zilikuwa hazizidi tano, halafu nawe unaamini kuwa tuliletewa battalion nzima kutoka msumbiji kuja kutusaidia kuoperate hizo BM-21 launchers ambazo kila moja inakuwa operated na askari watatu tu? Vile vile hata hujui kuwa Kanali Kotta alikuwa ni mtaalamu wa silaha hizo au naye utasema alikuwa wa katoka Msumbiji?

Waandishi hawakuwapo vitani; mwandishi pekee aliyekuwa vitani ni Ben Kiko ambaye naye alirudishwa nyuma baada ya vita ya Maska au Mbarara kwa sababu alianza kuwa anatangaza mambo ambayo yalikuwa yanaingiliana na tactics za jeshi. Hao wengine wote unaosoma habari zao ni za kusimuliwa na za kuhisisi tu, na hasa kama waandishi wenyewe walikuwa na wa kutoka nje ya nchi. Hata huyo uliyekwoti unasoma wazi kuwa naye hayuko definitive kwa hilo. Ni vivyo hivyo hata wewe ukiandika kitabu chako leo, nawe utasema hivyo hivyo kwa sababu ya kusikia tu. Nilikupa hint kuwa jaribu kumwuliza Gen Msuya ambaye ndiye aliyeteka jji la Kampala kwa sababu bado yuko hai umwulize swali hilo.

Ingawa ni kweli kuwa tulipata support kutoka Msumbiji na nchi nyingine za Adfrika kama Algeria, Zambia na Ethiopia kama sign ya gesture; walitusaidia silaha na fedha za kununulia silaha lakini lakini siyo wanajeshi hata kidogo. Halafu hao askari wa Uganda waliokuwa against Amin kwanza walikuwa wakimbizi wakiishi Tanzania, baada ya vita kuanza ndipo nao wakashirikishwa kama sehemu ya jitihadi za kukomboa nchi yao chini ya umbrella ya SUM (Save Uganda Movement) na tuliwaruhusu kwa lengo la kisiasa tu, siyo kwa sababu za kijeshi. Ilitakiwa ijulikane kuwa Amin aliangushwa na Waganda wenyewe, na ndiyo maana ya kuitisha mkutano wa Moshi.

Kitabu kuchapishwa Tanzania sioni kuwa ni kuhalisha kuwa kinasema ukweli; inategema na editorial oversight ya publisher. Kuna kitabu kilichowahi kuchapishwa Tanzania na mtu mmoja alikuwa akiitwa Candid Scope aliandika kitabu kikiwa kinakashifu serikali ya Nyerere wakati wa utawala wa Nyerere na kilitoka. Kuna vitabu vingi vya kama Kaptula la Marx vyote vilitoka na siyo kuwa vilikuwa vinakubaliwa na serikali. Kuchapishwa na TPH hakuna significance yoyote hapa

Duh hata hili la uwepo wa waandishi wa habari wawili waitwao Tony Avirgan na Martha Honey nalo unalikataa?

Hao ni waandishi pekee wa kimataifa ambao walipewa clearance na serikali ya mwalimu Nyerere kucover operation za Jeshi letu ndani ya Uganda.

Na hawa waandishi ndo waliandika hicho kitabu na kuelezea uwepo wa askari wa msumbiji nchini.

Hoja ya vitabu kuchapwa bado ni muhimu, Vitabu vyote vinavyozungumzia masuala ya operesheni za ulinzi na usalama vina utaratibu tofauti wa kufuata ili vipewe clearance, Scrutiny yake ni kubwa zaidi kuliko vitabu vya kawaida, kwa hiyo ni dhahiri kama hicho kitabu kilichapwa nchini basi kilipitiwa kwelikweli na watu wa vyombo vya usalama.
Lakini tukiacha kuchapwa, Vitabu vingi kama ulivyovisema kama vilikuwa na taarifa kubwa za upotoshaji vilikuwa vinafungiwa kuuzwa nchini, yaani vinapigwa ban, na hili lilifanyika sana kipindi cha mwalimu, Laiti hicho kitabu kingekuwa na information ya uongo na tena serious namna hiyo basi kingezuiwa kuuzwa nchini au wangetakiwa wabadirishe hiyo information, kwa kuwa hilo halijafanyika, au waandishi mahali popote kupata formal challenge ya kurevise hiyo information basi maana yake maelezo yao yako solid

Mzee Kichuguu, Ukiwa mwanajeshi huwezi jua yote, kubali tu kuwa hili ulikuwa hulijui, Siyo unyonge huo ni ubinadamu tu!
 
unauakika hatukulipiza?
congo tupo chini ya monusco kuna taratibu zake
sasa je hao waasi ni tishio hadi leo? je kitisho kimebaki kiasi gani leo?
kama sio kitisho unafkiri ni kwa sababu gani?
congo haina tofauti na gaza, pande zinazovutana zitaendelea kuwapo kwa muda mrefu sana, wakati wanajeshi wetu wanauwa palikuwa na utulivu kama uliopo leo, toka mauaje yale yafanyike hakuna kitu kinachofanana na kulipiza kisasi kimewahi tokea na kurepotiwa.

majeshi yaliyopo congo chini ya monusco sio ya tanzania pekee.
 
Duh hata hili la uwepo wa waandishi wa habari wawili waitwao Tony Avirgan na Martha Honey nalo unalikataa?

Hao ni waandishi pekee wa kimataifa ambao walipewa clearance na serikali ya mwalimu Nyerere kucover operation za Jeshi letu ndani ya Uganda.

Na hawa waandishi ndo waliandika hicho kitabu na kuelezea uwepo wa askari wa msumbiji nchini.

Hoja ya vitabu kuchapwa bado ni muhimu, Vitabu vyote vinavyozungumzia masuala ya operesheni za ulinzi na usalama vina utaratibu tofauti wa kufuata ili vipewe clearance, Scrutiny yake ni kubwa zaidi kuliko vitabu vya kawaida, kwa hiyo ni dhahiri kama hicho kitabu kilichapwa nchini basi kilipitiwa kwelikweli na watu wa vyombo vya usalama.
Lakini tukiacha kuchapwa, Vitabu vingi kama ulivyovisema kama vilikuwa na taarifa kubwa za upotoshaji vilikuwa vinafungiwa kuuzwa nchini, yaani vinapigwa ban, na hili lilifanyika sana kipindi cha mwalimu, Laiti hicho kitabu kingekuwa na information ya uongo na tena serious namna hiyo basi kingezuiwa kuuzwa nchini au wangetakiwa wabadirishe hiyo information, kwa kuwa hilo halijafanyika, au waandishi mahali popote kupata formal challenge ya kurevise hiyo information basi maana yake maelezo yao yako solid

Mzee Kichuguu, Ukiwa mwanajeshi huwezi jua yote, kubali tu kuwa hili ulikuwa hulijui, Siyo unyonge huo ni ubinadamu tu!
Tony na mke wake Martha walikuwa Tanzania wakiwa wanaripoti kuhusu ukombozi wa Afrika ambayo ndiyo ilikuwa mission yao kuu. Wakati vita inaanza walikuwa wakiishi Dar es Salaama na walikuwa nao wanaweka records zao kadri walivyokuwa wanazisikia. Hawakuingia kwenye theater kuona kuwa kweli kuna askari wa msumbiji. Hata hayo ya Msumbiji naye anakwoti watu wengine; siyo kwamba aliwaona- ndiyo hiyo hearsay ninayokuambia. Kama huwajui vizuri Tony na Martha basi elewa pia kuwa walikuwa na matatizo ya ku-embelish na kuweka chumvi katika wanayoandika, hali iliyopelekea wakahukumia kifungo na serikali ya nchi moja huko Amerika ya Kusini, nadhani Nicaragua, kwa kuandika uongo.

Mwandishi pekee aliyeingia kwenye theater ile ni Ben Kiko na crew yake tu, na baada ya kuondolewa, taarifa zote za vita zilikuwa zinatolewa na makao makuu ya jeshi. RTD na Daily News ambavyo vilikuwa vyombo vya serikali navyo havikuwa na mwandishi yoyote kule. Huyu Palamagamba Kabudi ambaye alikuwa anaandika habari za vita kwenye gazeti la Daily News wakati huo alikuwa anakaa Bukoba. Msaada mwingine wa kupata taarifa nzuri zaidi ni kwa huyo Profesa Kabudi kwani yeye alikaa sana huko Bukoba muda wote wa vita akiwa anaripoti habari za vita hiyo.

Unatakiwa ujue kuwa hapa siyo mashindano ya kukubali kushindwa na kuogopa kuonekana mnyongea labda hiyo ndiyo hali yako, mimi ninaweka rekodi sawa. Ninazijua first hand, wewe umeambiwa na kusoma; hapo kuna tofauti kubwa sana.
 
Hasa mkuu mzalendo aliyepikwa haswa kama Palamagamba atasema nini zaidi ya kilichokuwa kinasemwa na RTD.
 
Hao waandishi waliambatana na JWTZ huko mbele kwenye uwanja wa mapambano, Hii unaweza kuisoma hapa chani

Img-1594222663985.jpg

Na kwa taarifa zaidi juu ya hilo tafuta kitabu chenyewe utaliona hilo, au unaweza kusoma juu ya habari yake hapa:

NYERERE & KAGERA WAR-2: Nyerere rallied nation in 60 minutes
 
Hao waandishi waliambatana na JWTZ huko mbele kwenye uwanja wa mapambano, Hii unaweza kuisoma hapa chani

View attachment 1501081

Na kwa taarifa zaidi juu ya hilo tafuta kitabu chenyewe utaliona hilo, au unaweza kusoma juu ya habari yake hapa:

NYERERE & KAGERA WAR-2: Nyerere rallied nation in 60 minutes

(1) Frontline kulikuwa hakuna waandishi wala raia yeyote, kule ilikuwa ni sehemu ya wapiganaji tu; inawezekana na yeye alikuwa anakwenda Bukoba na sehemu ambazo zilikwisha kombolewa kama akina Kabudi na kukusanya rekodi alizoweza kupata.

(2) Kama unajua kusoma vizuri, angalia kuwa mwandishi huyo hajasema kuwa aliwaona askari wa msumbiji na wala hajaweka thabiti kuwa kweli kulikuwa na askari wa Msumbiji. Alisema Machel alijitolea kusaidia askari. Halafu paragraph inayofuata amekwoti kutoka reference namba 12; siyo kwamba aliona hayo. Kitabu chake kinaweza kuwa na rekodi nyingi sahihi lakini siyo zote, na huenda ndiyo maana amekuwa makini kukopi hiyo paragraph bila kusema kuwa ni ya kweli bali amesema hilo lina mashaka. Soma vizuri uone kuwa hiyo paragraph ni kwote ya kutoka reference 12; nimekuonyesha quotation marks alizotomia na namba ya reference ilikotoka halafu soma tena uone maoni yake mwenyewe yanayofuata hiyo quote.

1594224549055.png
 
(1) frointline kulikuwa hakuna waandishi wala raia yeyote, kule ilikuwa ni sehemu ya wapiganaji tu; inawezekana na yeye alikuwa anakwenda Bukoba na sehemu ambazo zilikwisha kombolewa kama akina Kabudi na kukusanya rekod alizoweza kupata.

(2) Kama unajua kusoma vizuri, angalia kuwa mwandishi huyo hajasema kuwa aliwaona askari wa msumbiji na wala hajaweka thabiti kuwa kweli kulikuwa na askari wa Msumbiji. Alisema Machel alijitolea kusaidia askari. Halafu paragraph inayofuata amekwoti kutoka reference namba 12; siyo kwamba aliona hayo. Kitabu chake kinaweza kuwa na rekodi nyingi sahihi lakini siyo zote, na huenda ndiyo maana amekuwa makini kukopi hiyo paragraph bila kusema kuwa ni ya ni kweli bali amesema hilo lina mashaka. Soma vizuri uone kuwa hiyo paragraph ni kwote ya kutoka reference 12;; nimekuonyesha quoation marks alizotomia na namba ya reference ilikotoka halafu soma tena uone maoni yake mwenyewe yanayofuata hiyo quote.

View attachment 1501135

Naona unarudia yale yale tuliyokwisha yajadili sana.

waandishi hawana shaka juu ya uwepo wa askari wa msumbiji, bali ni kwamba hawakujuwa tu role yao katika misheni hiyo ya kijeshi ilikuwa ni nini. Hii inamake sense, maana ingekuwa ajabu waanze kupeleleza kila mwanajeshi anafanya nini, kufanya hivyo ingekuwa ni ujasusi na vibali vyao vya kucover vita na kuoperate nchini vingeweza kuwa revoked au hata kufungwa!.
Nashangaa kitu obvious unakicomplicate ka kuargue semantics badala ya substance na theme kubwa ya andiko lao! .

Kwa mfano, nikisema Kuchuguu alikuwepo kwenye Shughuli lakini sijui alikuwa na role gani!. Mimi kutokujua una role gani haiondoi ukweli kuwa ulikuwepo!

Sasa badala ya wewe kichuguu kukataa account ya watu wengine waliokuwepo, watu ambao kazi yao ilikuwa ni kusaka taarifa, ni jukumu lako kusearch zaidi, Usiishie kuamini imani yako pekee bila ya kuresearch zaidi.

Wewe kutojua yote yaliyokuwa yanaendelea kwenye vita haimaanishi hayo mambo hayakuwepo!

Umekanusha mambo mengi bila utafiti, kwa mfano huko nyuma umekanusha hata uwepo wa Safari ya mwalimu huko msumbiji kipindi chochote cha vita!, Umesema mwalimu hakusafiri kabisa kipindi hicho cha vita, ukasema hata Krismasi aliyozea kuilia Butiama nayo hakwenda Butiama.
Well ukweli ni kuwa alikwenda Msumbiji, na Pia kuna wakati alikwenda kwenye uwanja wa mapambano, eneo lililokomboewa huko Kagera, ipo clip ya video mwalimu akiongea na makamanda wa vita huko Kagera

Hebu zama kwenye archives, uone kama Mwalimu hakwenda Msumbiji mwanzoni kabisa mwa vita, kabla havijakolea
 
(1) Nilikweleza kuwa mara baada ya vita kuanza; Nyerere hakutoka Dar. Hiyo safari unayosema ni huenda kabla vita haijaanza. Vita ilitangazwa nadhani tarehe 29 October na safari hiyo unayosema nadhani ni ya November 2 kabla hata ya mobilization ya jeshi. Safari zote za nje zilifanywa na Mkapa akiwa waziri wa mambo ya nje wakati huo.

(2) Hiyo article uliyoweka inajieleza yenyewe kabisa. Zamani sana kwenye mtihani wa English tulikuwa na kitu kinaitwa Comprehension kutaka wasomaji waelewe content siyo kujua kuunganisha maneno tu. Semantics ni matumizi ya maneno, ninakwambia content ya mwandishi huyo kwenye ukurasa huo iko wazi kabisa. Kwa lugha rahisi ameandika kuwa maneno haya yalitoka kwa mtu mwingine lakini ukweli wake haujulikani; hiyo imeonyesha wazi kabisa. Hakusema kuwa kweli msumbiji walikwenda; kama kuna sehemu kasema definitely hivyo wewe piga msitali utuonyeshe hapa. Inawezeka hii hadithi ya Musumbiji inatokana na mtu mmoja tu na wote wakawa wanamkopi huyo huyo.

Kama huna imani na maneno ya Kichuguu; mtafute General Msuya na Profesa Kabudi; usitumia kisingizio cha waandishi wengi tu. Ukishatumia waandishi wengi soma pia reference wanazotumia; laiti tungejua hiyo reference 12 waliyotumia jamaa hawa, tungeweza kujua chimbuko la upotoshaji huo. Kuna factor za kijeshi kadhaa nimeshakuambia kukuhakikishia kwa nini hatukuwa na wapiganaji kutoka nje ya nchi naona wewe hutaki kuzielewa.
 
Gazeti?
🤔🤔 ntakuwa wa mwisho kuamini
Samahani mzee; nitajibu kunyoosha upotoshaji wowote kuhusiana na vita ile kwa nguvu sana kwa vile nami nilikuwa kwenye kikaango kile; siyo wa kusimuliwa. Kuna uwongo mwingi sana umeibuliwa kuhusu vita ile labda majadiliano haya yatasaidia wasomaji wa huko mbele kujua ukweli sahihi.

Jambo baya ni kuwa huyo wanayemkwoti, yeye naye kakwoti kwa mwingine, lakini sasa waandishi wengi wamekuwa wanamkwoti huyu Tony na Martha tu bila kujua kuwa na yeye kakwoti kusikoaminika.
 
Tumegee ukweli wa mambo mkuu..maana wengine wkt wa hiyo vita tulikuwa bado watoto wa dogo
 
(1) Nilikweleza kuwa mara baada ya vita kuanza; Nyerere hakutoka Dar. Hiyo safari unayosema ni huenda kabla vita haijaanza. Vita ilitangazwa nadhani tarehe 29 October na safari hiyo unayosema nadhani ni ya November 2 kabla hata ya mobilization ya jeshi. Safari zote za nje zilifanywa na Mkapa akiwa waziri wa mambo ya nje wakati huo.

(2) Hiyo article uliyoweka inajieleza yenyewe kabisa. Zamani sana kwenye mtihani wa English tulikuwa na kitu kinaitwa Comprehension kutoka wasomaji waelewe content siyo kujua kuunganisha maneno tu. Semantics ni matumizi ya maneno, ninakwambia content ya mwandishi huyo kwenye ukrasa huo ikow wazi kabisa. Kwa lugha rahisia ameandika kuwa maneno haya yalitoka kwa mtu mwingine lakini ukweli wake haujulikani; hiyo imejonyesha wazi kabisa. Hakusema kuwa kweli msumbiji walikwenda; kama kuna sehemu kasema definitely hivyo wewe piga msitali utuonyeshe hapa. Inawezeka hii hadithi ya msumbiji inatokana na mtu mmoja tu na wote wakawa wanamkopi huyo huyo.

Kama huna imani na maneno ya Kichuguu; mtafute General Msuya na Profesa Kabudi; usitumia kisingizio cha waandishi wengi tu. Ukishatumia waandishi wengi soma pia reference wanazotumia; laiti tungejua hiyo reference 12 waliyotumia jamaa hawa, tungeweza kujua chimbuko la upotoshaji huo. Kuna factor za kijeshi kadhaa nimeshakuambia kukuhakikishia kwa nini hatukuwa na wapiganaji kutoka nje ya nchi naona wewe hutaki kuzielewa.

1.Katika bandiko langu nimezungumzia safari mbili za mwalimu moja ni ya Msumbiji na nyingine kwenda Kagera kukagua mwenendo wa vita. Umejibu moja ya Msumbiji, Umekwepa kuzungumzia ya Kagera maana ni ukweli ulio wazi Mwalimu alikwenda Kagera at sometime baada ya vita kuanza. Kwa hiyo madai yako kuwa Nyerere hakuwahi kutoka Dar baada ya vita kuanza ni false claim

2. Waandishi wanasema, lile Gazeti waliloacha Wasumbiji pale Mwanza
ni "ONE OF THE FEW EVIDENCE" ya kuijulisha external world juu ya uwepo wao, lakini Siyo "THE ONLY EVIDENCE", Na mimi nakubaliana nao kwa sababu nimeshaelezwa na Maaskari waliopigana hiyo vita na kunipa ushuhuda wa kupigana na hao askari wa msumbiji bega kwa bega dhidi ya Amin

3. Sasa ukinipa choice, ya kukubaliana na wewe uliyekuwa askari wa akiba au maaskari waliowashuhudia hilo jambo, basi ni dhahiri tunafuata habari za mashuhuda!. Japo ulikuwa sehemu moja ya uwanja wa mapambano wewe hukubahatika kushuhudia hilo, kwa hiyo katika hili sidhani kama unaweza kuwa shahidi mzuri wa kuzungumzia kile ambacho hujakishuhudia!. Na kwa kuwa ulikuwa hupati taarifa zote za jeshi basi tuchukulie tu kuwa hilo lilikupita. ILA NAKUELEZA HIVI, KUNA ASKARI WENZIO, WANAKIRI UWEPO WA ASKARI WA MSUMBIJI KATIKA VITA YA KAGERA. Confession yao hiyo inalingana kabisa na maandishi ya hao waandishi wawili, kitu kinachothibitisha kuwa hao waandishi wako sahihi!
 
Samahani mzee; nitajibu kunyoosha upotoshaji wowote kuhusiana na vita ile kwa nguvu sana kwa vile nami nilikuwa kwenye kikaango kile; siyo wa kusimuliwa. Kuna uwongo mwingi sana umeibuliwa kuhusu vita ile labda majadiliano haya yatasaidia wasomaji wa huko mbele kujua ukweli sahihi.

Jambo baya ni kuwa huyo wanayemkwoti, yeye naye kakwoti kwa mwingine, lakini sasa waandishi wengi wamekuwa wanamkwoti huyu Tony na Martha tu bila kujua kuwa na yeye kakwoti kusikoaminika.
Asante sana
kuna vingi hawaelewi hawa na hawataki kuelewa
Yani gazeti liliokotwa airport ndo tulazimishwe kulitumia kama reference?
hao Msumbiji sjui kamanda wao alkua nani?
maana makamanda wote walopiganisha vita wanajulikana na walikua wa tz! Ukitoa kikundi cha akna m7 na baat nzuri makamanda wao pia wanajulikana

Maybe sababu ni ngozi nyeupe kaandika maana kunawatu humu wanawahusudu!!
 
1.Katika bandiko langu nimezungumzia safari mbili za mwalimu moja ni ya Msumbiji na nyingine kwenda Kagera kukagua mwenendo wa vita. Umejibu moja ya Msumbiji, Umekwepa kuzungumzia ya Kagera maana ni ukweli ulio wazi Mwalimu alikwenda Kagera at sometime baada ya vita kuanza. Kwa hiyo madai yako kuwa Nyerere hakuwahi kutoka Dar baada ya vita kuanza ni false claim

2. Waandishi wanasema, lile Gazeti waliloacha Wasumbiji pale Mwanza
ni "ONE OF THE FEW EVIDENCE" ya kuijulisha external world juu ya uwepo wao, lakini Siyo "THE ONLY EVIDENCE", Na mimi nakubaliana nao kwa sababu nimeshaelezwa na Maaskari waliopigana hiyo vita na kunipa ushuhuda wa kupigana na hao askari wa msumbiji bega kwa bega dhidi ya Amin

3. Sasa ukinipa choice, ya kukubaliana na wewe uliyekuwa askari wa akiba au maaskari waliowashuhudia hilo jambo, basi ni dhahiri tunafuata habari za mashuhuda!. Japo ulikuwa sehemu moja ya uwanja wa mapambano wewe hukubahatika kushuhudia hilo, kwa hiyo katika hili sidhani kama unaweza kuwa shahidi mzuri wa kuzungumzia kile ambacho hujakishuhudia!. Na kwa kuwa ulikuwa hupati taarifa zote za jeshi basi tuchukulie tu kuwa hilo lilikupita. ILA NAKUELEZA HIVI, KUNA ASKARI WENZIO, WANAKIRI UWEPO WA ASKARI WA MSUMBIJI KATIKA VITA YA KAGERA. Confession yao hiyo inalingana kabisa na maandishi ya hao waandishi wawili, kitu kinachothibitisha kuwa hao waandishi wako sahihi!
(1) Kagera ndipo kulikuwa na vita; niliposema hakutoka nje haikuwa na maana kuwa alikuwa haongozi vita; yeye ndiye alikuwa Amiri jeshi na kuna picha zake nyingi akiwa ama na makamanda nyumbani kwake Dar au huko Kagera

(2) Kusema kuwa mimi nilikuwa askari wa akiba kwa hiyo huwezi kuniamni ni upungufu mkubwa sana wa busara katikamjadala kama huu kwa vile hunielewi mimi ni nani. Nimekuambia tu nilikuwa katikati ya mfumo wa habari zote za kivita. Ninaposema nilikuwa askari wa akiba sitaki kukuambia nilikuwa nafanya kazi gani na nilikuwa na cheo gani wakati huo; ila usidhani kuwa nilikuwa nimeokotwa mitaani tu. Timu yetu yote waliostaafu jeshi walikuwa makanali au majenerali na bado kuna wawili katika timu yetu ile ambao bado wako jeshini sasa hivi na ni majenerali. Baada ya hapo mimi nilifanya ile iliyokuwa TAKUKURU, kwa hiyo usidhani kuwa unagongea na mtoto alieyeokotwa mitaani tu. Kinachomata hapo ni access yangu ya information, usibababishwe na cheo nilichokuwa nacho wakati huo. Information is power.

(3) Jeshi lina organization yake, na wakati wa vita ile organization ilikuwa ni tight sana. Mtu anayejua operations za jeshi hawezi kuaminishwa pumba za harakaharaka tu kuwa wapiganaji wa batallion tofauati walikuwa wanajuana kirahisi kwa kukutana vitani. Hata JKT tu watu wa kombania tofauti hawaelewani ambapo siyo vitani, halafu eti wewe uliambiwa na wapigaji kuwa huko vitani walikuwa wanashirikiana na askari wa msumbiji kama huo siyo uwongo sijui nitauitaje. Elewa jeshi linavyofanya kazi kwanza ndipo ujadili mambo kama haya; jeshi likiwa vitani siyo kama makondakta wa daladala wanapofika kituoni wanapiga soga kuulizana habari za ulikotoka. Ndiyo maana nakuuliza batallion hiyo ya msumbiji ilikuwa chini ya kamanda gani na ilitekeleza operation ikiwa chini ya brigade gani; huna jibu. Harafu nikakuambia, kama unaamini walikuwa wataalamu wa kuoperate BM-21, ambazo Col Kotta alikuwa mtemi wake- ila tuchukulie kuwa hatukuwa na akina Kotta, je ni kweli ilikuwa tunahitaji batallion nzima kutoka msumbiji kuja kutusadia kuperate BM-21 kama kumi tu? On the worst case.
 
Walipotea wapi; si ajabu unasikia hadithi tu; ni kweli tulipoteza wanajeshi karibu 500 ( siyo 2000 ingawa sina namba kamili) ambayo ni karibu batallion moja, na nimekuambia kuwa katika hatua za kwanza za vita kuna karibu Batallion nzima iliyopotea kwa sababu ya uamuzi mbovu wa kamanda mmoja.

Vile vile vita ya Lukaya iliua waganda na walibya wengi sana lakini pia watanzania walikufa. Mimi nilikuwa karibu sana na taarifa za mapambano yale kuanzia mwezi Octoba mwaka 1978 (siyo 1979) kabla hata Rais hajatangaza vita yenyewe kwa vile nilikuwa kwenye Brigedi ya Magharibi ambayo ndiyo iliingia vitani kwanza.

Vita iliendelea kwa miezi saba katika mazingira magumu kama niliyosema hapo, hivyo ni kweli watu walikufa. Huwezi kupigana vita ya ardhini bila askari wako kufa. Jeshi la Uganda halikuasi bali lilielemewa nguvu na jeshi la Tanzania licha ya kuwa walikuwa wanasaidiwa na askari wengi sana kutoka Libya.

Unaposema kuwa watu wetu walielemewa sana ila baada ya hapo jeshi la Uganda likaasi ndipo tukapata unafuu- ni wazi hujui vita nini- ile siyo ngoma ya mdundiko ndugu yangu, ni kazi ya kurushiana risasi za moto, sema pia ni askari wangapi wa Uganda waliokufa kama hutapatwa na ugonjwa wa moyo iwapo unaliangalia jeshi la Tanzania wakati huo katika negative lens;

Jeshi la Uganda lilikuwa kubwa sana, Amini alikuwa anawekeza sana katika jeshi kuliko sehemu nyingine yoyote, ila sasa JWTZ ilikuwa inawafuta kama sisimizi ndipo wakafikia kukata tamaa ya kuendelea na vita ile.
Watu waliokaririshwa huwa ni wakali!!!! Ila pia watanzania walio wengi tuna tatizo la negativity kwa nchi yao jambo ambalo halina Afya sana kwa nchi yetu .
 
Walipotea wapi; si ajabu unasikia hadithi tu; ni kweli tulipoteza wanajeshi karibu 500 ( siyo 2000 ingawa sina namba kamili) ambayo ni karibu batallion moja, na nimekuambia kuwa katika hatua za kwanza za vita kuna karibu Batallion nzima iliyopotea kwa sababu ya uamuzi mbovu wa kamanda mmoja.

Vile vile vita ya Lukaya iliua waganda na walibya wengi sana lakini pia watanzania walikufa. Mimi nilikuwa karibu sana na taarifa za mapambano yale kuanzia mwezi Octoba mwaka 1978 (siyo 1979) kabla hata Rais hajatangaza vita yenyewe kwa vile nilikuwa kwenye Brigedi ya Magharibi ambayo ndiyo iliingia vitani kwanza.

Vita iliendelea kwa miezi saba katika mazingira magumu kama niliyosema hapo, hivyo ni kweli watu walikufa. Huwezi kupigana vita ya ardhini bila askari wako kufa. Jeshi la Uganda halikuasi bali lilielemewa nguvu na jeshi la Tanzania licha ya kuwa walikuwa wanasaidiwa na askari wengi sana kutoka Libya.

Unaposema kuwa watu wetu walielemewa sana ila baada ya hapo jeshi la Uganda likaasi ndipo tukapata unafuu- ni wazi hujui vita nini- ile siyo ngoma ya mdundiko ndugu yangu, ni kazi ya kurushiana risasi za moto, sema pia ni askari wangapi wa Uganda waliokufa kama hutapatwa na ugonjwa wa moyo iwapo unaliangalia jeshi la Tanzania wakati huo katika negative lens;

Jeshi la Uganda lilikuwa kubwa sana, Amini alikuwa anawekeza sana katika jeshi kuliko sehemu nyingine yoyote, ila sasa JWTZ ilikuwa inawafuta kama sisimizi ndipo wakafikia kukata tamaa ya kuendelea na vita ile.
Nakuelewa sana mkuu Kichuguu
 
Back
Top Bottom