T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Huyu jamaa ana ubishi wa kiboya(1)Kwenye ishu ya kufa kuna majibu yote matatu, ama kuna waliokufa, au hawakufa yote yanawezekana, Mathalani Tulikuwa na Wanajeshi zaidi ya 40000 kwenye uwanja wa mapambano askari tuliopoteza hawakufika hata 1000, which means survival rate ilikuwa ni kubwa!.
(2) Haukuwa peke yako vitani, tena wewe ulikuwa askari wa akiba kama ulivyosema huko awali, hauna uhakika wa nini haswa kilitokea msitari wabele. Waliokuwa na hao wasumbiji kwenye units zao Wanakiri kushirikana nao, nashangaa ushuhuda huu huutaki!, Kila saa unaukwepa ushuhuda huu
(3) Ishu ya askari wa Msumbiji toka mwanzo ilikuwa clouded na secrecy, hii ni kwa sababu Nyerere hakutaka hii vita ionekane as if ni ya Afrika nzima, hakupenda Afrika idhani Tanzania inatumia position yake ya frontline state kujisaidia kwenye vita zake yenyewe dhidi ya member mwingine wa OAU, Hata hivyo hakuna siri duniani!.
Kichuguu hakuwa uwanja wa vita lakini ana access ya taarifa zote hata za siri sababu alikuwa kitengo cha mawasiliano