Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Habari hii si ya kutunga ni historia yangu ya kweli waweza uliza waliokuwa Mstari wa mbele kikosi cha makao makuu(Special-Force)Echolima naamini watakujulisha Who iam in battleground.
hiki kitabu kitakuwa kizuri sana, tafadhali, kama story hii ni ya kweli si ya kutunga, naomba ukitoe, nitakinunua kwa bei yeyote ile siku tu kitakapokuwa madukani. tafadhali malizia. hii itatuunganisha zaidi na zaidi watz kwa namna moja ama nyingine kwa kuona jinsi mlivyolipigania taifa letu kwa umoja bila kujali dini wala nini, kwani naona kuna majina ya wakristo na waislam mabrigedia etc.

weka na picha, hii pia itawapa wananchi imani kubwa zaidi ya hapa kwa jeshi letu. Mungu ibariki Tanzania.
 
mkuu Echolima,baba yangu mzazi ambaye kwa sasa ni marehemu,alikuwa ni mmoja ya wapiga picha za filamu (cinematographer) ktk vita ya kagera.am proud to say yeye ni mmoja ya
wapiga picha mahili na jasiri wa enzi hizo waliokuwa na jukumu la kuchukua picha za mwendo wakati vita inaendelea,sometimes they had to work in dangerous situation to make sure war events were well captured .filam hiyo ni mali ya serikali,hauzwi ila inapatikana ktk maktaba ya tbc1 na mara kadhaa wamekuwa wakiionyesha.nadhani hata ktk maktaba zenu jeshini inapatkana pia.hope kitabu chako sambamba na issues zingine kitaeleza role ya wapiga picha ktk vita hiyo cos was told hawa jamaa walikuwa hand to hand na nyinyi wapiganaji on battlefield.nitafarijika sana mkuu.kama utahitaji jina la mzee nitaku pm.usikute mlikuwa mkifahamiana.good luck mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi kusikia Baba yako alikuwa mpiga picha(RIP)ni kweli waandishi wa habari za kijeshi mara nyingi sana huhatarisha maisha yao kwa ajili ya kuwapatia Habari Umma au Jamii nzima maana bila wao huwezi kujua WHO IS WHO IN BATTLEGROUND nilikuwa na jamaa zangu wengi waliokuwa kwenye fani hiyo kama vile Mhamad Ally Itambo na wengine wengi tu Ok ni-PM.
mkuu Echolima,baba yangu mzazi ambaye kwa sasa ni marehemu,alikuwa ni mmoja ya wapiga picha za filamu (cinematographer) ktk vita ya kagera.am proud to say yeye ni mmoja ya
wapiga picha mahili na jasiri wa enzi hizo waliokuwa na jukumu la kuchukua picha za mwendo wakati vita inaendelea,sometimes they had to work in dangerous situation to make sure war events were well captured .filam hiyo ni mali ya serikali,hauzwi ila inapatikana ktk maktaba ya tbc1 na mara kadhaa wamekuwa wakiionyesha.nadhani hata ktk maktaba zenu jeshini inapatkana pia.hope kitabu chako sambamba na issues zingine kitaeleza role ya wapiga picha ktk vita hiyo cos was told hawa jamaa walikuwa hand to hand na nyinyi wapiganaji on battlefield.nitafarijika sana mkuu.kama utahitaji jina la mzee nitaku pm.usikute mlikuwa mkifahamiana.good luck mkuu.
 
Last edited by a moderator:
generali marwa tulikua tunakaa nae pale gongo la mboto mzambartauni uswahilini tu na nyumba yake ni ya kawaida na ilikua wala sio barabaranai ni kwa nyuma nyuma uko alikua anaishi akitegemea kila mwezi gunia la mchele na kilo 30 za nyama kutoka jeshini.... ni uswahilini hata ukienda na gari upate mwenyeji kufika maana ni chocho za nguvu unaweza usifike ni zile nyumba unaiona ile lakini kufika ndio issue!!!! hyayo ndio matunda ya kufanya kazi za uadilifu bila kuiba!!!
 
Teh teh teh...mkuu umeanza vizuri,umemaliza vizuri.
 
Nzuri sana Echolima fanya uelezee roles za jeshi la majini, makomandoo, na majiran zetu wa nje na ndan including vikosi vya kina Museveni.
 
Nina kazi nikimalizia nitatimiza ahadi yangu nitaitoa ingawaje itakuwa kwa kifupi sana kupisha Kitabu ambacho kinaelezea kwa kina sana.
 
Ina maana tanzania haikupoteza askari maana unaongelea tu uganda ndo askari wao walikufa na pia naskia wanajesh wetu wengi walikamatwa mateka vp walirudishwa!?
 
Inaoneka hukusoma vizuri Historia yangu kuna sehemu niliandika mimi kwenye kikosi chetu tulipoteza askari na ndiyo maana Kaboya kuna makaburi ya Wapiganaji wetu.
Kuhusu kutekwa kwa wanajeshi wetu wakati wa Mapambano mimi sina habari hizo .
 
Kuna jamaa wa Uganda namfahamu naye alikuwa uwanja wa mapambano, anasema kikosi chake kilikua chini ya Kanali Moyo. Inavyoonekana kulikua na makundi tofauti ya wanajeshi wa Uganda waliokuwa begakwabega
na majeshi yetu. Kuna walikuwa chini ya Yoweri K Museveni na wale wa Milton Obote ambao nadhani walikuwa chini
ya Ojok. Tafadhali tupe maelezo kuhusu hawa wapiganaji.
 
Kwani Wale Mateka Wa Kiarabu Mliwapeleka Wapi? Wako Wapi Sasa? Na Vp Kuhusu Majina Ya Utani Ya Makamanda Yalikuwa Na Maana Gani?
 
Ndugu Echolima, umenikumbusha mbali sana. Nilikuwa Bukoba enzi hizo za vita, nikisoma ZamZam Primary School.Nakumbuka mashambulizi ya ndege za Amin pale mjini. Hakika vijana wetu wa JWTZ walifanya kazi kubwa na yakupigiwa mfano hasa. Nadhani hii ni taasisi pekee nchini ambayo mimi bado nina imani kubwa nayo kiutendji, kiuadilifu na knidhamu. Big up JWTZ. DRC nao pia wamewakubali sana.
 
Back
Top Bottom