Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,824
- 2,079
- Thread starter
- #241
Habari hii si ya kutunga ni historia yangu ya kweli waweza uliza waliokuwa Mstari wa mbele kikosi cha makao makuu(Special-Force)Echolima naamini watakujulisha Who iam in battleground.
hiki kitabu kitakuwa kizuri sana, tafadhali, kama story hii ni ya kweli si ya kutunga, naomba ukitoe, nitakinunua kwa bei yeyote ile siku tu kitakapokuwa madukani. tafadhali malizia. hii itatuunganisha zaidi na zaidi watz kwa namna moja ama nyingine kwa kuona jinsi mlivyolipigania taifa letu kwa umoja bila kujali dini wala nini, kwani naona kuna majina ya wakristo na waislam mabrigedia etc.
weka na picha, hii pia itawapa wananchi imani kubwa zaidi ya hapa kwa jeshi letu. Mungu ibariki Tanzania.