hiki kitabu kitakuwa kizuri sana, tafadhali, kama story hii ni ya kweli si ya kutunga, naomba ukitoe, nitakinunua kwa bei yeyote ile siku tu kitakapokuwa madukani. tafadhali malizia. hii itatuunganisha zaidi na zaidi watz kwa namna moja ama nyingine kwa kuona jinsi mlivyolipigania taifa letu kwa umoja bila kujali dini wala nini, kwani naona kuna majina ya wakristo na waislam mabrigedia etc.
weka na picha, hii pia itawapa wananchi imani kubwa zaidi ya hapa kwa jeshi letu. Mungu ibariki Tanzania.
mkuu Echolima,baba yangu mzazi ambaye kwa sasa ni marehemu,alikuwa ni mmoja ya wapiga picha za filamu (cinematographer) ktk vita ya kagera.am proud to say yeye ni mmoja ya
wapiga picha mahili na jasiri wa enzi hizo waliokuwa na jukumu la kuchukua picha za mwendo wakati vita inaendelea,sometimes they had to work in dangerous situation to make sure war events were well captured .filam hiyo ni mali ya serikali,hauzwi ila inapatikana ktk maktaba ya tbc1 na mara kadhaa wamekuwa wakiionyesha.nadhani hata ktk maktaba zenu jeshini inapatkana pia.hope kitabu chako sambamba na issues zingine kitaeleza role ya wapiga picha ktk vita hiyo cos was told hawa jamaa walikuwa hand to hand na nyinyi wapiganaji on battlefield.nitafarijika sana mkuu.kama utahitaji jina la mzee nitaku pm.usikute mlikuwa mkifahamiana.good luck mkuu.
generali marwa tulikua tunakaa nae pale gongo la mboto mzambartauni uswahilini tu na nyumba yake ni ya kawaida na ilikua wala sio barabaranai ni kwa nyuma nyuma uko alikua anaishi akitegemea kila mwezi gunia la mchele na kilo 30 za nyama kutoka jeshini.... ni uswahilini hata ukienda na gari upate mwenyeji kufika maana ni chocho za nguvu unaweza usifike ni zile nyumba unaiona ile lakini kufika ndio issue!!!! hyayo ndio matunda ya kufanya kazi za uadilifu bila kuiba!!!