Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

mkuu ni kweli hayati baba wataifa alipoteza kijana wake kwenye hii vita na je ilikuwaje??
 
Haikua kazi ndogo... Hongereni sana mashujaa wetu kwa kweli mlifanya kazi kubwa sana. Mnahitaji pongezi kwa namana moja au nyingine.. Mungu awabariki sana
 
Namkumbuka Isaack Mtuma sisi tulipenda mwita mkatakumeni. Hili jina tulimpa sababu ya story yake flani ambayo leo sitoisimulia. Ila alikuwa ni mtu ambaye watu walimpenda na wengine walimchukia. Tunamkumbuka sana kipindi hicho mimi barubaru nina miaka michache tu ndo nmetoka shule.

 
Kwenye huo uzi wa Kwanza naomba uweke Page namba mbili inapatikana page namba ngapi kwa JF.
Itatuwia urahisi wa kutafuta kwa watumiaji wa simu mkuu Echolima
 
Kwenye huo uzi wa Kwanza naomba uweke Page namba mbili inapatikana page namba ngapi kwa JF.
Itatuwia urahisi wa kutafuta kwa watumiaji wa simu mkuu Echolima
Kama unataka kuona sehemu ya pili search-
Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya Pili
 
Mkuu mleta uzi, kiukweli sehemu ya 1 umeelezea vizuri Sana kiasi kwamba mtu akiwa anasoma Ni Kama vile anaangalia muvi (movie).

Lakini sehem zilizobaki Kuna uhondo umepunguza, unatoa tu hints na sio masimuluzi ya matukio na kila tukio hatua kwa hatua Kama ulivyofanya katika sehemu ya kwanza.


All in all, hongera kwa uzi mzuri Sana na zaidi hongera kwa kuipigania nchi yetu pendwa.

Heshima kwako mkuu

Kizibo
 
Halafu Naomba kujua mambo haya.

Brigade Ni nini

Batalioni Ni nn?

Kizibo
 
Hii naweka kabisa kwenye bookmark, nitakuwa nadonoa kidogo kidogo kila siku mpaka nifike page ya mwisho
 
Umenikumbusha mbali sana Mkuu, mabasi ya LUPONDIJE NA BANA BAKWE. Kumbe nyie mlipitia Kahama hamkufika BWINGABOY Old Shinyanga.
 
Umenikumbusha mbali sana Mkuu, mabasi ya LUPONDIJE NA BANA BAKWE. Kumbe nyie mlipitia Kahama hamkufika BWINGABOY Old Shinyanga.
Huko sisi hatukupita sisi tulienda moja kwa moja mpaka kwenye uwanja wa Mapambano!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…