Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,261
- 3,679
Daah huyu kweli mpumbavu aisee...eti vulugu, pusi weeHio usiite vita!
Hio ilikuwa ni fujo tu!
Na ghasia za watu wenye magobole!
Sasa hii ukiita vita na vietnam uite nini!?
We binti huna wazee kaenu.Daah huyu kweli mpumbavu aisee...eti vulugu, pusi wee
Duh..mgambo wetu bado sikutegemea km utatoboa na hii Corona.Mjukuu wangu bado upo unapumlia mashine tu??
We shangazi unasoma ulichoandika?Kwanza shikamoo! hakika Luten nimefurahi, kwa jinsi mlivopigana km Wayahudi wanavyoichapa Palestine, na mlirudi mlikuwa na hela si kitoto..Baba yangu mdogo alikwemo. chipukizi hujawataja waliwakaribisha kwa mbwembwe!
Huyu Brigedier Kota bado yu hai? wanauhusiano gani na Major KOTA daktari? Major Sanga 823KJ yeye hakuwemo humo,
Sasa mara ghafla ulitaka tukuite Captain sio.Toka lini Jogoo kafa kwa utitiri??Acha kunishusha cheo mimi Babu yako!!!
Toka lini Jogoo kafa kwa utitiri??Acha kunishusha cheo mimi Babu yako!!!
Teh teh teh.Ngoja nikuache maana wewe hukawii kunikosea Adabu!!!
Yaani ni shida!Story ya ku-kopi na ku-paste unapata biichwa!!!
hiyo ya kupigana ukiwa ndani ya maji kwa week mbili,ni balaa.kuna mwanajeshi mstaafu aliyepigana vita hivi aliniambia alitembea kwa miguu umbali wa takribani kilimeter 500 ama zaidi akiwa vitani kuelekea kampala,naomba experience yako pia juu ya hili
kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji.
Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010
kuna col Dominic Nshimanyi aliongoza moja ya vikosi vya infantry naona haujamtaja,baadae alikuja kunyongwa kwa kesi ya mauaji.
Sad story ni kwamba mabint wake wawil ambao nilisoma nao walijiua kwa nyakat tofaut miaka ya 1994 na 2010
Asante sana, babu yangu pia alikuwa Luteni. Huyu jamaa Kaahtan sitashangaa kusikia alikuwa mfanyakazi wa Amin upande wa mfua c.h.u.pi za Amin maana analeta jokes kwenye National patriotism.
I am proud of you heros!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mkuu Echolima,
Zile biskuti mlizokuwa mnakula vitani zilikuwa za nini mbona zilikuwa ngumu sana.
Na yale maharage ya kopo, pamoja na nyama ya kopo, zilikuwa zinatoka wapi.
Naomba unipe darsa kaka.
Dah! Nimeisoma hii hadi mwili umesisimka. Ahsante sana kwa kuileta habari hii jamvini na hongera zako nyingi katika kusimama kidete kutetea heshima ya nchi yetu.