Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 989
hivi jina la Black Mamba lilikuwa la kamanda gani vile? nyie kipindi hiko ndio mlikwa wazalendo kweli haswa, lakini leo hii jeshi letu imejaza akina Shimbo (Matrilionea)
Alikuwa Brigadier Walden.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi jina la Black Mamba lilikuwa la kamanda gani vile? nyie kipindi hiko ndio mlikwa wazalendo kweli haswa, lakini leo hii jeshi letu imejaza akina Shimbo (Matrilionea)
Mkuu hebu hii history andika kitabu,najua kweli sio mwandishi omba msaada kwa waandishi wakusaidie,nadhani watu kama nyinyi ni watu muhimu katika history ya nchi yetu,
Watoto wetu leo hata mashuleni sidhani kama wanafundishwa habari za vita ya kagera wala kujua tu majina ya mashujaa wetu,
Khofu yangu miaka 20 ijayo nchi itakuwa imepoteza history yake yote,
Mkuu Echolima
mbali na majeshi ya miguu mlitumia pia majeshi ya majini katika vita hii??
Vipi kuhusu majeshi ya anga nayo yalitumika sana au hatukua wazuri sana upande wa anga??
sijui kama itafaa kuweka records sawa, niliwahi kusikia kuwa rais wa wakati huo aliyepinduliwa na idd amin ni Milton obote na alikuwa kafichwa ikulu ndogo ya Lushoto.Mkuu,
Kitabu hiki ninacho na ninakitunza kama mboni ya jicho langu. Niliwahi kumuonyesha mkubwa mmoja hapa nchini mwaka jana, kumbe hakuwahi kukiona na alishangaa sana kuniona nacho.
Na humo utagundua kwamba kumbe Nyerere alikuwa mmoja wa marais wachache kumuweka detention rais wa nje.
Nyerere alimuweka detention Rais Yusuf Lule wa Uganda kwenye ikulu ya D'Salaam kuanzia June NN, 1979 hadi July 06, 1979 kama inavyoelezwa kwenye ukurasa wa 204 hadi 206.
Nyerere alikuwa kiboko.
sijui kama itafaa kuweka records sawa, niliwahi kusikia kuwa rais wa wakati huo aliyepinduliwa na idd amin ni Milton obote na alikuwa kafichwa ikulu ndogo ya Lushoto.
huyo yusuph lule alimpindua obote badae kama sikosei, yusuph lule alikuwa miongoni mwa majeshi ya ukombozi ya upande wa Uganda, wanaojua watatuwekea records sawa.Mmh, ndivyo name mimi navyojua, huyo rais mwingine itakuwa no new story
Umeona enhee,atu wajanja xana!
Vita iliyogharimu maixha ya wengi kwa manufaa ya viongoz....!
sijui kama itafaa kuweka records sawa, niliwahi kusikia kuwa rais wa wakati huo aliyepinduliwa na idd amin ni Milton obote na alikuwa kafichwa ikulu ndogo ya Lushoto.
Fanya order toka kokote duniani kama kule Amazon!Wadau vitabu vya vita yetu na Idd Amin na Raid in Entebe vinapatikana wapi? Navitafuta kwa udi na uvumba.