Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 420
kila mtawala ana yake, na kila mtu ana ubaya wake na uzuri wake, wewe mbona unachuna albino, fisadi, Nyerere hakuyaacha haya, ya kuchunana ngozi, ubaya wa Nyerere mnauona sasa hivi anapokaribia kuwa Mtakatifu? yeye hakuwa Mtakavitu kama kizazi iki cha JK, mtu kaajiriwa jana Kesho ana nyumba mbili na Vague.Mwacheni apumzike, najua aliwachukia wahaya sana kwasababu za ubinafsi wao.
tuambie sasa wewe unachojua kuhusu hiyo vita na usituletee story za iddi amini kula nyama za watu...Si kubali hata kidogo hayo maelezo yalitungwa uganda na baadhi ya askari waliotaka kuja kumpindua nyerere baada ya vita ya kagera
Usione hivyo ukadhani ni bure. Kuna ajenda kuu.This new obsession about Nyerere is quite amazing....people are wasting their time. The guy has gone!!
Unafahamu vzr historia ya amini na chanzo cha vita ya kagera?Binafsi sijakuelewa, nani anayechuna ngozi? Hujaweka wazi. Hebu weka maneno yako yaeleweke.
Haahaa! Pilipili usiyoila inakuwashia nini? Do we know Amin that well? Au ndio hadithi za gahawa gahawa? Nimeanza kuamini kabisa, in Africa, there are so many confused people. They just wake up everyday without knowing the purpose of being alive and the meaning to work for. They are driven by whatever that would come on their way....tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Who killed Hans Poppe and took the remains to Uganda in 1971? Anyway, mbona hata Osama alikuwa na wafuasi, itakuwa Amini!!Tunaendelea kuusaka ukweli, lisemwalo lipo, Amin hakuwa chizi wa kukurupuka na kuvamia bila sababu, mbona hakuvamia Zaire, Sudani, au Kenya?
Mie nimekaa sana Uganda ktk miji ya Mbarara, Kampala na Masaka. Ukiongea na wazee wengi wanasema afadhali ya Idd Amin mara kumi kuliko Mu7. Na pia wanasema kuwa Tanzania ndio nchi iliyoanzisha ugaidi dhidi ya utawala wa Amin kwa kuwasaidia watu wenye asili ya Kinyarwanda kuitawala Uganda. Na wakafikia kunambia kuwa Mwalim Nyerere alikuwa Mtutsi na alikuwa akiwasaidia nduguze kutawala Uganda. Waganda asilia ambao ni Baganda, Banyoro, Batoro na Bakiga wanasema Tanzania ndio iliowaponza mpaka leo wanatawaliwa na wageni.
Mie nimekaa sana Uganda ktk miji ya Mbarara, Kampala na Masaka. Ukiongea na wazee wengi wanasema afadhali ya Idd Amin mara kumi kuliko Mu7. Na pia wanasema kuwa Tanzania ndio nchi iliyoanzisha ugaidi dhidi ya utawala wa Amin kwa kuwasaidia watu wenye asili ya Kinyarwanda kuitawala Uganda. Na wakafikia kunambia kuwa Mwalim Nyerere alikuwa Mtutsi na alikuwa akiwasaidia nduguze kutawala Uganda. Waganda asilia ambao ni Baganda, Banyoro, Batoro na Bakiga wanasema Tanzania ndio iliowaponza mpaka leo wanatawaliwa na wageni.
Naona umekuja na nyingine, hivi Nyerere alikukosea nini?..
- Wakuu JF heshima mbele sana, naomba kuuliza tena hivi kulikuwa ana ulazima wa kupiagana Vita na Idd Amin mpaka kumuondoa kwenye madaraka nchini mwake? Yeye alivunja sheria za kimataifa kwa kutuingilia ndani ya mipaka yetu, je na sisi kwa kuvuka mipaka yake pia mbona kama tulijivua nguo kama yeye, yaani tukawa two wrongs!
- I mean kumuondoa tu kwenye ardhi yetu ndio sheria za kimataifa zinavyosema, lakini kwenda mpaka kumuondoa kwenye uongozi wa Taifa lake mbona kama we went too far, na historia ikaishia kutusuta maana tukamuweka Obote, akaishia kuondolewa tena na mwingine, au Great Thinkers mnasema je?
- Na wale mabingwa wa Conspiracy Theories karibuni sana!!
William.
William,
Jibu rahisi ni kwamba hatukuwa na sababu ya kumhifadhi Obote. Hatukuwa na sababu ya kuwa na uhusiano hasimu na Iddi Amin. Iddi Amin was the best thing that ever happened to Africa and Uganda. We should have loved him and not make war on him. Simply Nyerere was mad to fight with Amin. Tulifanya makosa makubwa sana. Nadhani hapo utaridhika. Anzisha sasa topic nyingine tumkosoe na kumdadavua Nyerere.
Ngoja nikusaidie; Nyerere and African liberation. Big mistake. Nyerere and Pan Africanism: ndoto ya mchana. Nyerere and the Development of Man: it will never happen. Niendelee?
"Mpumbavu" utakuwa ni wewe usiyejua kwa nini tuliingia vitani wakati ule na sii Watanzania. Kiongozi shupavu ni yule anayelinda watu wake dhidi ya uvamizi wowote ule toka nje ya mipaka kama alivyoamua Nyerere wakati ule hata kama maamuzi hayo yalileta shida ila heshima ilipatikana.Kwanini nchi za kiislam zilimsaidia IDDI AMINI? ukipata jawabu hapo utajuwa kwa nini Nyerere alianzisha vita na AMINI, kisha watanzania wakafanywa "wapumbavu" kutungiwa nyimbo za ajabu ajabu.