Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

Haahaa! Pilipili usiyoila inakuwashia nini? Do we know Amin that well? Au ndio hadithi za gahawa gahawa? Nimeanza kuamini kabisa, in Africa, there are so many confused people. They just wake up everyday without knowing the purpose of being alive and the meaning to work for. They are driven by whatever that would come on their way....tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Wewe hujui !! ni vema ukanyamaza !!! ungeangalia kipindi cha miaka 50 ya uhuru siku ya ijumaa tarehe 9 desemba hakuna cha kujivunia ni vita ya kagera! ndio kitu kikubwa walichokiona! vita ile aliianzisha Nyerere na Amin akasema "Anatuchokoza TUTAMFUATA MPAKA HUKO DARISALAMA" tena kwa kiswahili !!! usicheze na politics kwani ni mchezo mchafu !!! Rais wa madarakani anashika kila upande mahakama, medias na vitu kibao inapotokea kutaka kupotosha atatumia medias na inapotokea anataka kudhulumu atatumia madaraka yake katika mahakama ! majina yote alompa idd amin leo hii kama nyerere angekuwa hai nadhani yeye ndio alistahili kupewa majina yale ..
 
Niliwahi kucomment kwenye uzi wa nyerere rais mbovu nilichokosea sikucomment vizuri maana nilikuwa na hasira nae nyerere kuna watu waliniambia nikapige mswaki, wengine wakaniambia nina fikra za kimadrasa ! ukweli ndio huo sasa !!! nyerere was a dictator..na akamrithisha mtoto wake muadilifu pia mkapa ambae alimtumia sana wakati mkapa anafanya kazi kama sikosea Daily News nilikosea nikasema radio tanzania! nyerere alimtumia sana mkapa kueneza propaganda zake wakati yeye rais na mkapa alitumiwa kueneza habari zozote za kupotosha umma wa watanzania ili mradi kutimiza lengo na AHSANTE YAKE NDIO AKAMNADI KUWA NI KIJANA MUADILIFU! MSAFI ! AKAMZAWADIA URAIS ... ngoja tuzidi kusikia watu wanasema nini !!! ahsante sana muungwana uloandika uzi huu ! leo nimefurahi sana ALAANIWE NYERERE MPAKA SIKU YA KUFUFUKA KWAKE!!!!
 
Mimi hapa naanza kuwa na mashaka na uelewa wetu maana kabla ya hapo niliamini kuwa waliotutangulia wana ufahamu wa kutosha.
Ninavodhani ni kuwa waandishi wa vitabu vya historia, sayansi, jiografia, s/kimu nk kila mmoja huwa anaandika jina la mwandishi/mtunzi kwenye kitabu husika. Haijawahi tokea waandishi tofauti wakaandika juu ya jambo moja na vitabu hivyo vikafanana.

Kwa hiyo kama kuna mtu ana wasiwasi au hajaridhika anaweza kufanya utafiti mpya na kuandika kitabu chake (kama Mzee Edwin Mtei alivyoamua kuandika cha kwake) na yeyeto atakayekisoma ataamua kulingana na alichoandika.

Hii inaweza kutusaidia zaidi maana tutakuwa tunafikiria kwa kwenda mbele badala ya kurudi nyuma kama inavyotaka kufanyika sasa hivi.
Kuhusu Iddi Amin, kuna maelezo mengi na hasa ukienda Uganda kwenyewe juu ya mazuri mengi aliyoifanyia nchi yake lakini wengi wao wanaona mabaya aliyoyafanya ni mengi zaidi ya mazuri.

Nashauri wanaoleta hizi hoja waendelee nazo maana kwa kufanya hivyo zinasaidia ku-'clear doubts' juu ya uzushi.
Mkuu Dingswayo haya ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu na Watanzania kutokuwa na mazoea ya kujisomea vitabu,majarida na magazeti badala yake wako busy kusoma udaku na kusikiliza ujinga ktk FM radio stations ambako watangazaji wake wengi ni wenye elimu duni! Imenisikitisha sana kwa baadhi ya michango kama hawa ni Great Thinkers!
Aidha unaaandika haya kwa makusudi kwa kuitikia wito wa campaign ya kumchafua Mwl. J.K. Nyerere, au haya ni matokeo ya mfumo wa elimu duni.
 
Wewe hujui !! ni vema ukanyamaza !!! ungeangalia kipindi cha miaka 50 ya uhuru siku ya ijumaa tarehe 9 desemba hakuna cha kujivunia ni vita ya kagera! ndio kitu kikubwa walichokiona! vita ile aliianzisha Nyerere na Amin akasema "Anatuchokoza TUTAMFUATA MPAKA HUKO DARISALAMA" tena kwa kiswahili !!! usicheze na politics kwani ni mchezo mchafu !!! Rais wa madarakani anashika kila upande mahakama, medias na vitu kibao inapotokea kutaka kupotosha atatumia medias na inapotokea anataka kudhulumu atatumia madaraka yake katika mahakama ! majina yote alompa idd amin leo hii kama nyerere angekuwa hai nadhani yeye ndio alistahili kupewa majina yale ..

Kwahiyo tuliwavamia Comoro maana tuliwapeleka askari wetu kule kumpiga mtu asiyetuhusu. Jamani tuwe makini na haya maneno ya kuwasemea watu wengine.
Nyerere has become a bitter pill for some of us....the question is why now? Soon or later we will know why. Hizi porojo zenu endeleeni nazo tu
 
Huu ulioandikwa leo ndio ukweli, tatizo lenu hampendi kuona nyerere anasemwa! hilo ndio tatizo! ni swadakta kabisa, ukweli utajulikana soon! usimsifie sana nyerere! yeye ndio aliangusha uchumi wetu kwa kuleta azimio la arusha na kuingilia vita ambayo haimhusu kwa sababu ambazo zimeelezwa hapo juu! msisome upande mmoja wa shilingi, geuzeni na kwengine muone pia mabaya ya huyu mtu ambae kesho kutwa atasimikwa u"saint" too bad !
 
kama unavyosema kuwa historia bado inachanganya, nakushauri ukafanye utafiti zaidi alafu uje utuandikie hapa. Wengi wetu tunategemea hapa kama chanzo muhimu cha taarifa (Nimemsikia hata Prof. Mwandosya akikiri hivi) kwa hiyo si vizuri kutuletea upotofu.

Nakushauri uende Uganda watakueleza vizuri juu ya Iddi Amin.

Waliompenda sana wale 'day dreamers' baada ya kuona amenyanganya maduka/biashara za wageni na kuwakabidhi wao wakadhani sasa ndi basi tena. Muda ulipopita wakashindwa kuendesha zile biashara na uchumi ukaanza kudidimia kwa kasi. Na hapo Iddi Amini ndio akaanza kuona kuwa wasomi walikuwa threat kwake na kuanza kuwaua hovyo kabla ya kuamua ku-divert akili ya Waganda kwa kuivamia Tanzania (yawezekana kutoelewana kulikuwepo).

Sasa kwa jinsi ulivyo post ilikuwa na maana kuwa Tanzania ikae kimya isimguse!

Pia Mseveni (yaweza akawa Dikteta) hakuwa aina ya viongozi wahuni kwa maana tumeshuhudia alivyokaa madarakani kwa muda mrefu lakini mambo aliyoifanyia nchi hayaonyeshi kiwango cha uhuni kama unavyouweka.

Endeleeni kutuletea hizi habari na hasa ubaya wa Nyerere maana inaweza kutusaidia hata sie tulioko mbali na hatuelewi mengi lakini chungeni ku-mislead watu!
........Wakati huo kilianzishwa kikosi cha wanamgambo ambacho kiliundwa na vijana wa Uganda waliokuwa wakiishi Tanzania. Baadae kikosi hicho kilijulikana kwa jina la FRONANSA ambacho kilikuwa chini ya uongozi wa mtu aliyejulikana kwa jina la YOWERI MUSEVEN. Kikosi hicho baada ya kupata mafunzo maalumu ya kijeshi kikapelekwa huko Kagera mpakani mwa Tanzania na Uganda kwa lengo la kufanya chokochoko na uchokozi katika eneo ambalo lilikuwa linajulikana kama KAGERA SALIENT........
.............Hata hivyo raia wa Uganda waliopata bahati ya kuwepo wakati wa utawala wa IDD AMIN wanaamini kuwa rais huyo ndiye aliyekuwa bora zaidi kuwahi kutokea katika nchi hiyo kutokana na kuukuza uchumi wa nchi hiyo kwa kasi kubwa. Hata hivyo historia bado inachanganya kwani watanzania wengi wanaamini kuwa AMIN ndiye aliyekuwa mchokozi katika vita ile....Swali la kujiuliza, kama AMIN hakuwa na sababu ya msingi ya kuvamia Tanzania. Kwa nini hakuvamia nchi nyingine za jirani? Kama ni kweli Nyere ndiye aliyekuwa mchokozi. Basi historia ya vita hiyo si ya kujivunia hata kidogo.
huwa najiuliza nchi kama Somalia inshindikanaje kutawalika wakati ni kabila moja na dini moja! Sasa mwanga unaanza kuja kwa mbali!
Huu ulioandikwa leo ndio ukweli, tatizo lenu hampendi kuona nyerere anasemwa! hilo ndio tatizo! ni swadakta kabisa, ukweli utajulikana soon! usimsifie sana nyerere! yeye ndio aliangusha uchumi wetu kwa kuleta azimio la arusha na kuingilia vita ambayo haimhusu kwa sababu ambazo zimeelezwa hapo juu! msisome upande mmoja wa shilingi, geuzeni na kwengine muone pia mabaya ya huyu mtu ambae kesho kutwa atasimikwa u"saint" too bad !
 
Ninachojua mimi juu ya vita ya TZ na Uganda:

Nyerere alikuwa mpigania amani Afrika, alisaidia mataifa yote ya kusini mwa Afrika kujikomboa ndo maana Nchi kama Mozamique, Zimbabwe, Angola, Namibia Afrika ya Kusini zilikuwa na makambi yao Tanzania. Sababu ya vita ni AMIN kuudhika uamuzi wa Nyerere kumpokea Obote baada ya kupinduliwa mwaka 1971. Alikuwa anachukizwa na uamuzi wa Nyerere kumpokea OBOTE na wafuasi wake waliokimbilia TZ. Akaanza kuwatafuta tangu mwaka huo huo wa 1971, aliambiwa wamejificha kanda ya ziwa, wale wenye kumbukumbu watakumbuka Amini alipiga bomu Mwanza mwezi Mei 1971, na bomu liliangukia pale chuo cha ualimu Butimba na mabaki ya bomu hilo yapo hadi leo kwenye geti la kuingilia chuoni.

Kwa hiyo, chokochoko za kuwatafuta wabaya wake Tanzania ziliendelea mpaka pale aliposikia kuna kikosi cha ukweli maeneo ya Kagera (akina Museveni) kinajiimarisha, akaamua kwenda kuwafyeka Mwaka 1978. Weee, lilikuwa kosa hilo kwa Nyerere na kwasababu AMINI alikuwa anatoa maneno machafu kwa Nyerere, Mwalimu aliona hakuna njia ni kumfyeka.

Kwanini aliendelea mpaka kumng'oa? jibu lipo wazi, baada ya JWTZ kuyaondoa majeshi ya AMINI katika ardhi ya Tanzania, yalisimamana na kutoa taarifa kwa Nyerere (Amiri Jeshi mkuu) kwamba kazi tumeimaliza. Sasa Nyerere kwa kushauriana na makamanda waliona kumuondoa tu katika ardhi ya Tanzania isingesaidia angekuja tena na kuua watu na askari wetu pia, ndipo wakati ule makamanda wa Tanzania akina Musuguri, Mayunga na wengineo wakamwambia mzee, turuhusu tuendelee... Nyerere akasema ruksa .. kazi ikaanza mpaka Harua kule kwenye mpaka na SUDANI.

Mambo mawili ya kukumbuka:
(1)Baadada ya AMINI kung'olewa, kivita Nyerere alipasa kujitangaza yeye ndiye mtawala wa Uganda, lakini akasema hapana, uongozi wa nchi alipewa Maj.Genearal MSUYA wa Tanzania ambaye aliongoza Uganda kwa karibu wiki moja au mbili( siku mbuki vizuri) baadaye Nyerere akmwambia Obote rudi kachukue nchi yako. Msuya akaambiwa afanye maandlizi ya kukabidhi madaraka kwa OBOTE (kuapishwa) Msuya akasema yeye hajui anahitaji msaada, ndipo akapelekwa mzee Paul Sozigwa( wenye kumbukumbu wanaweza nisahihisha) mambo yaka wekwa sawa OBOTE akaapishwa
(2) Choko choko za AMIN zilifanana sana na choko choko za MAKABURU wa Afrika Kusini. Walichukizwa na kitendo cha Nyerere kuwaweka wapigania uhuru kwa nchi za Zimbabwe (Rhodesia), Namia(Western Rhodesia) na Afrika Kusini yenyewe. MAKABURU wliitafuta sana MAZIMBU pale Morogoro na kambi ya farm 17 pale Nachingwea mkoa wa Lindi. Wale waliowahi kuishi Nachingwea miaka ile ya 70's watakumbuka jinsi ndege za makaburu zilivyokuwa zinasumbua. shule zote na nyumba zote za mjini Nachingwea zilhitajika kuwa na mahandaki. Wakati hule mizinga ya kutungulia ndege ilikuwa imewekwa juu ya mlima ulipo pembeni kidogo ya mji unaitwa mlima NAMBAMBO ( sasa juu ya mlima huo pamejengwa kanisa)

Yamepita, Tugange ya jayo, tumwache mzee wetu apumzike kwa amani. Ameen
 
Huu ulioandikwa leo ndio ukweli, tatizo lenu hampendi kuona nyerere anasemwa! hilo ndio tatizo! ni swadakta kabisa, ukweli utajulikana soon! usimsifie sana nyerere! yeye ndio aliangusha uchumi wetu kwa kuleta azimio la arusha na kuingilia vita ambayo haimhusu kwa sababu ambazo zimeelezwa hapo juu! msisome upande mmoja wa shilingi, geuzeni na kwengine muone pia mabaya ya huyu mtu ambae kesho kutwa atasimikwa u"saint" too bad !

Mkuu,
We are living in trouble times...idadi ya waafrika wanaochanganyikiwa inaongezeka. Nilifikiri ni group dogo tu, ila mpaka marais waeanza kuchanganyikiwa sasa hivi. So Nyerere to me was a hero and I dont want to think in the directions that would cause my own mental breakdown unnecessarily.
 
Mimi nakubali kwamba vita ile imeleta umaskini, lakini tungemuacha Amini aendelee kuua watu wetu? waulize watu Mutukula, Kyaka na Bukoba kwa jumla waliovyoipata. vita si mchezo ndugu yangu, Nyerere alivumila kwa miaka 8! na alilalamika sana lakini mataifa yalikaa kimya hata OAU ilifyata.
 
Unafurahisha, kama nyerere alianzisha vita kwa kuwapiga watu wa Uganda, ulitegemea amini atawapiga waganda wenzake??? ni wazi atapiga watanzania kwa kulipiza kisasi! amkeni nyie ! msitetee tu kwasababu mnampeda nyerere.
 
Asante sana Kibwenga kwa kutokuwa biased,kweli JF tunao watu wanaotumia akili badala ya kutumia HISIA!
Nikiunganisha hoja za Kibwenga na mtoa uzi naanza kuona urafiki wa Milton Obote na JK ulivyotuangamiza hadi kuwa maskini...binafsi ninaanza kuona jinsi JK alivyochokoza. Mimi na uzi huu tu,hadi nijue fitina za huyu anayekaribia kuitwa MWENYE HERI!
 
Si kubali hata kidogo hayo maelezo yalitungwa uganda na baadhi ya askari waliotaka kuja kumpindua nyerere baada ya vita ya kagera
 
Tunaomba wanajua ukweli watusaidia kutoka kwenye giza hili maana kila mtu anazungumza lake.
 
Mkuu,
We are living in trouble times...idadi ya waafrika wanaochanganyikiwa inaongezeka. Nilifikiri ni group dogo tu, ila mpaka marais waeanza kuchanganyikiwa sasa hivi. So Nyerere to me was a hero and I dont want to think in the directions that would cause my own mental breakdown unnecessarily.

Kila mtu ana uhuru wa kuamini anaonavo yeye, mimi sikulazimishi wewe uamini nitakavo mimi kuwa nyerere ni fashisti! dada! joka kuu la uchumi wa nchi hii na watu wake (baadhi) , na wewe huwezi kunilazimisha mimi kuamini utakavo wewe, na wala huna haki ya wewe kuniita mimi nimechanganyikiwa eti kwa sababu tu wewe unataka mimi niwe muumin wako wa kumtetea nyerere! kama ikiwa mtu haamini muelekeo wa mtu fulani na hivyo basi huyo mtu ana mental breakdown basi nadhani hata na wewe pia ni sawa na yule rais huyo unaemzungumza alochanganyikiwa na automatically unaingia katika kundi la huyo rais ya kuwa umechanganyikiwa. nadhani umenielewa sawasawa!

Hoja kubwa hapa ni kuwa anazungumzwa nyerere kujiingiza katika vita isiyo yake na matokeo yake uchumi wetu UKAPOROMOKA vibaya na kumbe hata wa Uganda uliporomoka vibaya! sasa wewe unalazimisha mie niamini vingine ! sitaamini vile kamwe!
 
Megawatt B; Naona kuwa una point wewe.

Ulichosema kinaingia akilini. Hebu tusubiri wengine na mawazo yao
 
Last edited by a moderator:
maskini basi letu la kijiji aina ya Leyland sijuhi made in wapi! Lilibeba wagambo kwenda vitani,kisha likabeba mateka wa kivita. Halijarudishwa hadi leo,kijiji kilikosa mapato kutokana na kunyanganywa basi letu KIBABE! Vita ya kumtetea Obote....nahisi uchungu sana!

Hebu sema yote wana JF!
 
Kwa yeyote anayeamini hizi simulizi za jumakidogo hana budi pia kuamini na simulizi hii ya Osama bin Laden: kuwa alikuwa ni mwarabu muislam aliyekula dili na wayahudi na wamarekani ili kufanya matukio ya kupangwa ili ipatikane sababu ya wamarekani na washirika wake kuvamia nchi za kiislam kwa kudai kwamba Osama kajificha huko au wanahifadhi/kuhusiana na kundi la al-qaeda, na matokeo yake majeshi ya washirika yakaingia humo na kufanya mauaji makubwa kwa waislam.

Kinachonshangaza na kusikitisha ni jinsi waislam wengi walivokuwa wanamwabudu na kumpapatikia osama kumbe ndo adui yao nambari wani, ama kweli wajinga ndo waliwao! kumbe waislam walikuwa wanasujudia 'robot' lililobuniwa na wayahudi kwa ajili ya kuwaangamiza waislam wenyewe!

Obama alipoingia akavuta muda kidogo baada ya kuzunguka kwenye nchi za kiarabu(kiislam) kuwapa maneno matamu halafu akaamua kumaliza 'movie' kwa 'kumuua' osama kumbe kazi aliyotumwa osama keshamaliza kama mkataba wao ulivokuwa unasema na sasa yuko kwenye visiwa fulani anakula bata ndeeeeefu!

na ndo maana hatukuoneshwa maiti na wala hakuna kaburi, lakini kwa saddam na gadaffi tulioneshwa maiti kwa uwazi kabisa, iweje kwa osama!!? waislam tafakarini! na bado wayahudi na wamarekani wanakuja na ubunifu mwingine bab kubwa na kwa kuwa ni wepesi kuhadaiwa watapigika tena!

HABARI NDO HIYO.
 
Jinamizi la Mwl. Nyerere litaendelea KUWATESA kwa muda mrefu ujao! ...

Jumakidogo: Hata ulivyoandika hii makala inaonyesha kiwango chako cha elimu ni duni sana! ...

hapana, hapana!
Mimi ni Pro-Nyerere mzuri tu, lakini hoja ya Jumakidogo imetolewa katika namna ya kuhoji zaidi, na si conclusive kama zingine za kishabiki.
La ziada ni kuwa ziko powered na ushahidi wa masimulizi.
Sasa I wonder hizo attack za elimu ya mwenzio zin'kujaje?
Be reasonable mbaba!
 
kila mtawala ana yake, na kila mtu ana ubaya wake na uzuri wake, wewe mbona unachuna albino, fisadi, Nyerere hakuyaacha haya, ya kuchunana ngozi, ubaya wa Nyerere mnauona sasa hivi anapokaribia kuwa Mtakatifu? yeye hakuwa Mtakavitu kama kizazi iki cha JK, mtu kaajiriwa jana Kesho ana nyumba mbili na Vague.Mwacheni apumzike, najua aliwachukia wahaya sana kwasababu za ubinafsi wao.
 
Back
Top Bottom