Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, hakuna taifa la kibeberu linalotamani mali zetu? Hakuna nchi ya kiafrica inayoipiga majungu na vita vya kiuchumi Tanzania?
I dont know, maybe wewe unaonaje?Ndio chanzo cha vita vya uchumi?
Majibu ya wapumbavu huwa ya kipumbavu daima,wewe umeleta hoja nzuri lakini pale unapoona umeguswa vibaya unakuwa mkali,umeleta hoja sikiliza kwa makini majibu yake,utoto tulitokako wote ila upumbavu humshika mtu mpumbavu daima.Wewe acha utoto, namuuliza swali la msingi,kama tupo kwenye free trade....we.unaleta upuuzi
Nimekujibu swali, sijui unataka jibu gani?Jibu swali.
Ni mchumi wa makaratasi, kama yule mkemia mkuu.Madevu ni mchumi
Ndugu acha hasira. Najua ubunge au udiwani unauwazia sana lakini yaliyopita si ndwele.Acheni propaganda za kijinga, nchi zinazohitaji raslimali zetu wanazinunua na sio kuzipora. Kama ni mikataba mibaya, wanaingia hawa hawa viongozi wetu majizi ya kura. Nchi gani ya kiafrika ya kutupiga Majungu kama sio kujistukia tu? Mnafanya propaganda mfu halafu mnaziamini wenyewe.
Ndugu acha hasira. Najua ubunge au udiwani unauwazia sana lakini yaliyopita si ndwele.
Swala la mikataba mibaya ni kweli lakini tumeshuhudia mababdiliko hapa nchini.
Hivi unadhani Kenya walipenda tuwe na viwanda tulovyonavyo sasa? Unadhani wanafurahi kuona hii miundombinu iliyopo inajengwa?
Hakuna propaganda.
Ahaaa pole sana. Tanzania ya leo ni sawa na ya mwaka 1990's? Leo hii tuna manufacture bidhaa kibao. Ndio useme hakuna changesKuna viwanda gani vya kuitisha Kenya kama ndio mnayoshindana nayo? Miundombinu gani ya kuitisha Kenya iliyopo hapa nchini? Kwahiyo nchi nyingi za Ulaya zinachukiana kwakuwa kila nchi ina miundombinu mizuri? Acheni siasa za kitoto. Kwa haya maelezo yako ni kuwa vita yenu ya kiuchumi ni dhidi ya Kenya! Nyie mijizi ya kura mna vituko na siasa za kishamba mno.
Ahaaa pole sana. Tanzania ya leo ni sawa na ya mwaka 1990's? Leo hii tuna manufacture bidhaa kibao. Ndio useme hakuna changes
Vita iliyopo sio na Kenya tu mataifa kibao yanaionea husuda Tanzania
Mkuu umeipigilia na imeingia kwenye mfupaAcheni propaganda za kijinga, nchi zinazohitaji raslimali zetu wanazinunua na sio kuzipora. Kama ni mikataba mibaya, wanaingia hawa hawa viongozi wetu majizi ya kura. Nchi gani ya kiafrika ya kutupiga Majungu kama sio kujistukia tu? Mnafanya propaganda mfu halafu mnaziamini wenyewe.