Vita vya uchumi: Tanzania inapigana na Mabeberu au inapigana na nchi jirani za Kiafrika?

Vita huendana na uwezo we are not in the same league na hao waitwao mabeberu wakati walikua wanatusaudia hata vyandarua
 
Ndugu, hakuna taifa la kibeberu linalotamani mali zetu? Hakuna nchi ya kiafrica inayoipiga majungu na vita vya kiuchumi Tanzania?

Acheni propaganda za kijinga, nchi zinazohitaji raslimali zetu wanazinunua na sio kuzipora. Kama ni mikataba mibaya, wanaingia hawa hawa viongozi wetu majizi ya kura. Nchi gani ya kiafrika ya kutupiga Majungu kama sio kujistukia tu? Mnafanya propaganda mfu halafu mnaziamini wenyewe.
 
Wewe acha utoto, namuuliza swali la msingi,kama tupo kwenye free trade....we.unaleta upuuzi
Majibu ya wapumbavu huwa ya kipumbavu daima,wewe umeleta hoja nzuri lakini pale unapoona umeguswa vibaya unakuwa mkali,umeleta hoja sikiliza kwa makini majibu yake,utoto tulitokako wote ila upumbavu humshika mtu mpumbavu daima.
 
Vita ya kiuchumi kwa kawaida huwa pana sana kuliko vita ya silaha.
Katika vita hiyo kila silaha hutumika:
1) export businesses,
2) commodities businesses,
3) manufacturing businesses,
4) banking businesses,
5) sanctions of movement of influential people,
6) channelling assistance money through NGO and not Government,
7) influencing friendly government to behave negatively in the same way you behave,
8) delays in transfer ODA ( oficial development assistance ). Lastly.
9) kutumia vibaraka wa ndani mambo yanapokuwa magumu kutekelezwa na watu wa njee.

The economic war has countless selected issues that are involved.

10) Refusing to support companies which enter into commercial deal with your country.
11) influencing mass news media to report negatively on your developments endeavours .
12) Selective approval of normal concession business fund against your country.

Nchi tajiri ndizo huwekea sections or go into economic wars na nchi ndogo ndogo na sio kinyume chake.

Na kila nchi duniani kila wakati ipo kwenye sanctions ama open practiced sanctions ama silent ones.

Hi inataka uchambuzi wa kina sana kujua.
 
Acheni propaganda za kijinga, nchi zinazohitaji raslimali zetu wanazinunua na sio kuzipora. Kama ni mikataba mibaya, wanaingia hawa hawa viongozi wetu majizi ya kura. Nchi gani ya kiafrika ya kutupiga Majungu kama sio kujistukia tu? Mnafanya propaganda mfu halafu mnaziamini wenyewe.
Ndugu acha hasira. Najua ubunge au udiwani unauwazia sana lakini yaliyopita si ndwele.

Swala la mikataba mibaya ni kweli lakini tumeshuhudia mababdiliko hapa nchini.

Hivi unadhani Kenya walipenda tuwe na viwanda tulovyonavyo sasa? Unadhani wanafurahi kuona hii miundombinu iliyopo inajengwa?

Hakuna propaganda.
 
Kuna viwanda gani vya kuitisha Kenya kama ndio mnayoshindana nayo? Miundombinu gani ya kuitisha Kenya iliyopo hapa nchini? Kwahiyo nchi nyingi za Ulaya zinachukiana kwakuwa kila nchi ina miundombinu mizuri? Acheni siasa za kitoto. Kwa haya maelezo yako ni kuwa vita yenu ya kiuchumi ni dhidi ya Kenya! Nyie mijizi ya kura mna vituko na siasa za kishamba mno.
 
Ahaaa pole sana. Tanzania ya leo ni sawa na ya mwaka 1990's? Leo hii tuna manufacture bidhaa kibao. Ndio useme hakuna changes

Vita iliyopo sio na Kenya tu mataifa kibao yanaionea husuda Tanzania
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada. JMT nani anaiongoza kwa sasa?
Nalog off
 
Ahaaa pole sana. Tanzania ya leo ni sawa na ya mwaka 1990's? Leo hii tuna manufacture bidhaa kibao. Ndio useme hakuna changes

Vita iliyopo sio na Kenya tu mataifa kibao yanaionea husuda Tanzania

Kwahiyo hiyo Kenya iko vilevile toka mwaka 90? Kutengeneza bidhaa sio tatizo, ubora wa hizo bidhaa ukoje? Bidhaa karibia zote toka Kenya zina ubora maradufu wa hizi za Tanzania.
 
Acheni propaganda za kijinga, nchi zinazohitaji raslimali zetu wanazinunua na sio kuzipora. Kama ni mikataba mibaya, wanaingia hawa hawa viongozi wetu majizi ya kura. Nchi gani ya kiafrika ya kutupiga Majungu kama sio kujistukia tu? Mnafanya propaganda mfu halafu mnaziamini wenyewe.
Mkuu umeipigilia na imeingia kwenye mfupa
 
Tanzania ya miaka ya 80/90 tulikuwa tunamanufacture kuliko hii ya sasa ya juisi na Chapati za Azam
 
Back
Top Bottom