Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niulize swali ...kinachosababisha bei ya mafuta kupanda ni Nini??
Yaani hii vita inachangiaje kupanda bei ya mafuta?
Hatari kbsTusikomoane mkuu
Jamii forum ni ya wote kichwa cha habari ndo kimenileta humu
Ila kilichofuata Mungu akubariki!
BINGWA was propaganda yule[emoji4]hivi mmarekani anatumia uchawi gani kuwagombanisha nchi majirani kirahisi namna hii,ona kule uarabuni kafanikiwa kuwaaminisha waarabu kuwa adui yao ni Iran na sio Israel
67 Ukrainian soldiers surrender to Russian troops.Cha kushangaza,
Marekani kawaambie ulaya wasusie kununua mafuta ya Urusi atawauzi akiba yake.
Akiba yake kawauzia Bei kubwa Sana na bado imeisha na Putin hajasurrender.
Hapa bila masaada wa nchi za kiarabu kuingilia Kati,
Marekani na ulaya wanakuja kuanza kusalitiana wenyewe kwa wenyewe maji yakifika shingoni[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Urusi ndo tegemeo kwa 80% ya uuzaji wa mafuta na gesi ulaya nzima.Naomba niulize swali ...kinachosababisha bei ya mafuta kupanda ni Nini??
Yaani hii vita inachangiaje kupanda bei ya mafuta?
Habar ya Ya lini Iyo chief[emoji4]67 Ukrainian soldiers surrender to Russian troops.
Chukua hiyo kakaView attachment 2161749
Dah! Mnaishi kwa tabu Sana.Huku [emoji636] tunanyooka haswa inakaribia £2 kwa litre diesel na Petrol ni £1.63 leo
Wanataka kuleta sheria ya marufuku kuendesha gari jumapili ili kupunguza matumizi
Leo hiyo mkuu
Dah! Mnaishi kwa tabu Sana.
Sasa mateso yote ya Nini wanasiasa wanawatesa TU raia kwa kuingilia ugomvi usiowahusu wa us na Russia
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenijibu Kigumu mkuu sijaelewa kitu...Uwiano wa uzarishaji na matumizi mkuu+ usambazaji nayo inachangia.
Yaishawafika kaka olaf kaishayasema haya leoCha kushangaza,
Marekani kawaambie ulaya wasusie kununua mafuta ya Urusi atawauzi akiba yake.
Akiba yake kawauzia Bei kubwa Sana na bado imeisha na Putin hajasurrender.
Hapa bila masaada wa nchi za kiarabu kuingilia Kati,
Marekani na ulaya wanakuja kuanza kusalitiana wenyewe kwa wenyewe maji yakifika shingoni[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusikomoane mkuu
Jamii forum ni ya wote kichwa cha habari ndo kimenileta humu
Ila kilichofuata Mungu akubariki!
Ugharama wamaisha unapanda hizo ajira zitakua kama hazisaidiiHii vita imeathiri kila kona ya dunia ila watumiaji wakubwa wa mafuta ndio tunaathirika zaidi
Kila kukicha bei za bidhaa zinapanda
Ila uzuri ajira bado nyingi ukitataka unapiga mpaka weekend
Duuh inatisha sana Mkuu..ya kweli haya?Huku [emoji636] tunanyooka haswa inakaribia £2 kwa litre diesel na Petrol ni £1.63 leo
Wanataka kuleta sheria ya marufuku kuendesha gari jumapili ili kupunguza matumizi