Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Wasiendeshe wiki nzimaHuku [emoji636] tunanyooka haswa inakaribia £2 kwa litre diesel na Petrol ni £1.63 leo
Wanataka kuleta sheria ya marufuku kuendesha gari jumapili ili kupunguza matumizi
Wasiendeshe wiki nzima
Ugharama wamaisha unapanda hizo ajira zitakua kama hazisaidii
Ila poleni sana asee
Duuh inatisha sana Mkuu..ya kweli haya?
Dah! Poleni Sana,Hii vita imeathiri kila kona ya dunia ila watumiaji wakubwa wa mafuta ndio tunaathirika zaidi
Kila kukicha bei za bidhaa zinapanda
Ila uzuri ajira bado nyingi ukitataka unapiga mpaka weekend
Kwanza Huu msoto wanaopitia ulaya na Dunia nzima kwny ENERGY.Yaishawafika kaka olaf kaishayasema haya leo
Duuh inatisha sana Mkuu..ya kweli haya?
Dah! Poleni Sana,
Hii Ishu Ni hatari.
Na MDA SI mrefu naskia Putin kasema kuanzia Sasa atakae taka mafuta,gesi au makaa ya mawe kutoka russia
Atalazimika kulipa kwa rubble,
Atakaelipa kwa US dollar atapaswa kufuata exchange rate ya benki kuu Russia ambayo usdollar iko Chini ya rubee 100 kwa sasa.
Una shida unanunua, hutaki unaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika...RUSSIA sio ZIMBABWE
Hakika...
Mrusi atakuwa alijiandaa, Kwa Vita taratibu,
Bado bei ya ngano kupanda na mikate, cake na biscuit walivyozoea Kula kupanda maradufu!
Africa tunakula mihogo na magimbi na maviazi!
Anajua thamani yao toka mda mrefu, watu wasihisi mtu kama Putin asingewaza ambacho kingetokea baada ya vitaKwanza Huu msoto wanaopitia ulaya na Dunia nzima kwny ENERGY.
Wamemsaidia sana Putin mwnyw kujua anathamani Kias gani duniani kwny suala zima la nishati duniani.
Apa tayar keshapanda mabega,
Katika kuweka masharti mapya sahv kua anaetaka mafuta yake atapaswa kulipa kwa RUSSIAN RUBY na sio usd kama mwanZo.
Watu wanahaha uko[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana wanaumiza kichwa jamaa anawaza nn HAWAPATI JIBUAnajua thamani yao toka mda mrefu, watu wasihisi mtu kama Putin asingewaza ambacho kingetokea baada ya vita
Tatizo la watu huwa wanalinganisha bei ya vitu hasa kwa ulaya, na kulibeba hivyo kwa kulinganisha ni TZ!!wakati ukiliweka kwenye suala la kiuchumi wewe unayelipa 2700, una maumivu sana kuliko anayenunua kitu hicho kwa bei ya 8000!!Wazungu wanalalamika hata kwa vitu vidogo Sana. Unashangaa Uingereza Mafuta kuuzwa Tsh 5,000 huku nchi Masikini ya Tanzania yakiuzwa Nusu yake Tsh 2,700?
GDP per Capita ya UK ni zaidi ya Tsh 120,000,000/= ( $ 54,000) kwa Mwaka.
GDP per Capita ya Tz ni Tsh 2,400,000/= ( $ 1,086) kwa Mwaka
Sasa Kati ya Uingereza nchi Tajiri ambayo kipato Cha mtu ni mara 51 ya kipato Cha Mtu wa Tanzania,ni Nani anayeumia Mafuta yakiuzwa Tsh 5,000 kwa Uingereza na Tsh 2,700 kwa Tanzania?
MFANO MDOGO
Ukiambiwa chagua Kati ya vitu vifuatavyo:
A) Upewe $ 54,000 kila mwaka lakini uwe unanunua Mafuta kwa $ 2.6 kwa Lita au;
B) Upewe $ 1,089 kila mwaka lakini uwe unanunua Mafuta kwa $ 1.1 kwa Lita.
Tupe Majibu.
Una shida unanunua, hutaki unaacha.Dah! Poleni Sana,
Hii Ishu Ni hatari.
Na MDA SI mrefu naskia Putin kasema kuanzia Sasa atakae taka mafuta,gesi au makaa ya mawe kutoka russia
Atalazimika kulipa kwa rubble,
Atakaelipa kwa US dollar atapaswa kufuata exchange rate ya benki kuu Russia ambayo usdollar iko Chini ya rubee 100 kwa sasa.
Una shida unanunua, hutaki unaacha.
Sent using Jamii Forums mobile app
PUT IN mwamba kwel kwelKwanza Huu msoto wanaopitia ulaya na Dunia nzima kwny ENERGY.
Wamemsaidia sana Putin mwnyw kujua anathamani Kias gani duniani kwny suala zima la nishati duniani.
Apa tayar keshapanda mabega,
Katika kuweka masharti mapya sahv kua anaetaka mafuta yake atapaswa kulipa kwa RUSSIAN RUBY na sio usd kama mwanZo.
Watu wanahaha uko[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu nn MKUU namadhara yake nn nafaida yake nn?UK wapiga marufuku Red Diesel kuanzia 01/04/2022
Hali mbaya