Vita vya Ukraine: Bei ya petrol na diesel UK yapaa hadi Tsh 5000 kwa lita

Umesoma uchum wa wapi mkuu??? Hujui kama 1,089 inaweza kuwa Bora na nafuu kwa jamii ya Watanzania kuliko 54,000 kwa jamii ya kiingereza??

Kuna factors nyingi sana wanaangalia
 
Hakika...
Mrusi atakuwa alijiandaa, Kwa Vita taratibu,

Bado bei ya ngano kupanda na mikate, cake na biscuit walivyozoea Kula kupanda maradufu!
Africa tunakula mihogo na magimbi na maviazi!
Jana kuna jamaa yangu mmoja yuko swiss kanitumia chart inayoonyesha namna African countries tunavyoingiza ngano from Ukraine na Russia. Nkaona kitaumana soon
 
Sababu nn MKUU namadhara yake nn nafaida yake nn?

Wanasingingizia environment issue lakini ukweli tunajua sio kwa maamuzi ya ghafla hivi kama serikali za Africa
Huku huwa tunapewa mda mrefu kama sheria inakuja ila sio hili

Red Diesel walioruhusiwa ni wale wakulima na magari ambayo hayatumiki barabarani yaani shambani tu au kwenye ardhi yako kubwa unakuwa ndani tu
Pia wasiolipa Road Tax

Red Diesel ni rahisi na watu huwa wanatumia barabarani ila ukishikwa faini yake utajuta

Mkuu haina madhara kwangu na haina faida kwangu kwani siitumii ila waliopigwa marufuku ndio watasikia maumivu maana wanakuja kununua kwenye local Petrol station
 
Jana kuna jamaa yangu mmoja yuko swiss kanitumia chart inayoonyesha namna African countries tunavyoingiza ngano from Ukraine na Russia. Nkaona kitaumana soon
Ila tuna mbadala wa mihogo na magimbi na ndizi, sasa wao wanakula mkate kama bkfast lunch na dinner, kitaumana Kwa mabeberu huko zaidi!
Matajiri wetu kuhamia Canada kununua ngano!
Na kupata taabu, wataishi kama mashetani😀
 
Ahsante MKUU
hv unahisi hizi athari hasi zakiuchumi zinasababishwa na mgogoro huu unaondelea kwa kiasi kikubwa?
pia unadhani kama utaendelea kama ulivyo kwamiezi sita hapo UK na EU panaweza pakawaje KIUCHUMI KIJAMII na KISIASA
pia ninyi kama raia mlio wengi mnaona hali ilivyo change ghafla hv mna maoni ushauri ama mtazamo upi juu ya haya yaendeleayo ama raia wanategemea kuchukua hatua gani ili hali irejelee kama awali!?
 

Kweli kutabiri ni ngumu kwa sasa ila tunayaona yanayoendelea kila kukicha

Kila mwenye buashara amepandisha bei ya huduma zake ili tukabiliane nalo hakuna namna

Hatuwezi kufanya lolote ila kungalia tu
Na mwezi ujao April umeme, Gas na hata maji yanapanda bei
Ila maisha yanaenda hakuna kulia lia huku tunapambana sio lazima uwaze bata wakati hali imebadilika

Hata safari zinapungua itakuwa kwa mwaka mara moja tu [emoji3]

Maisha yanasonga
 
Hehehe poleni MKUU raia wanaliongeleaje hili la vita ya UKRAINE
 
Naona ICE-T huko states Yuko analia lia,Hali Ni tete mkuu.
 
Ni matusi tu kwa Putin [emoji23][emoji23]
Sasa nikiwaambia Putin anawarusha kichura mnajamba wanakasirika ile mbaya [emoji23][emoji23]
Wananiona mwehu kumshabikia Putin
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aiseee.
 
Naona ICE-T huko states Yuko analia lia,Hali Ni tete mkuu.View attachment 2163716

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza huko maisha yao ni magumu zaidi kula kwenye majalala ni kawaida wana dhiki ile mbaya
Halafu kila mmoja mbabe na bunduki

Na Mike Tyson hujaiona alivyotolewa pistol na jamaa kwenye Comedy show alipomwambia Tyson wazichape?
Yaani huko hata kutembelea siendi ingawa nina ndugu kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…