Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
Neno "Huenda" limekinajisi kichwa chote cha uzi wako.
Impossible future tense.
Impossible future tense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]... umoja na utangamano ndani ya Urusi unaenda kuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa kabla ya vita; kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii yanaenda kutokea ikiwamo utawala wa mkono wa chuma kufikia mwisho.
Naiona Urusi ya kidemokrasia mbeleni huko; Urusi isiyotawaliwa na maamuzi ya mtu mmoja au kakikundi ka wachache bali matakwa ya wananchi; Urusi isiyokuwa na "rais wa maisha" bali Urusi yenye viongozi waliowekwa na watu kwa ajili ya watu na sio madikteta yaliyojitawaza kuwa marais wa maisha.
Huyu fashisti amejigeuza waziri mkuu na rais mara kadhaa kabla ya kuona huo ni usumbufu hatimaye akabadili katiba atawale milele kwa raha zake. Hili chaka aliloingia hatoki salama.
Dah!!!Uchumi wa Urusi unamilikiwa na familia ya Putin.
Nimepata kuwafahamu hawa kina Putin kwenye familia yake kuna Generali wa jeshi tajili sana huwa anakuja kila mwaka kuwinda Tanzania, lile group huwa likija unaweza kuipata taswira halisi ya ukwasi walionao, na huwa wanasafiri na cash ya hatari, sijui hata hizi sheria za kiwango cha pesa za kusafiri nazo zinawalenga baadhi tu ya watu?
Toka Lin marekani wanachi ndyo wanamuweka madarakani raisi pale refer uchaguzi WA 2017 ivi nyie watu mmesomea kweli au mnapelekwa pelekewa Tu labda nikwambie Tu Putin hajiuzulu wala hakuna kitakacho ibafikisha RUSSIA... umoja na utangamano ndani ya Urusi unaenda kuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa kabla ya vita; kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii yanaenda kutokea ikiwamo utawala wa mkono wa chuma kufikia mwisho.
Naiona Urusi ya kidemokrasia mbeleni huko; Urusi isiyotawaliwa na maamuzi ya mtu mmoja au kakikundi ka wachache bali matakwa ya wananchi; Urusi isiyokuwa na "rais wa maisha" bali Urusi yenye viongozi waliowekwa na watu kwa ajili ya watu na sio madikteta yaliyojitawaza kuwa marais wa maisha.
Huyu fashisti amejigeuza waziri mkuu na rais mara kadhaa kabla ya kuona huo ni usumbufu hatimaye akabadili katiba atawale milele kwa raha zake. Hili chaka aliloingia hatoki salama.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unatoa reference ya vita yenu ambayo hata hamkujiandaa mliendaa kama vichaaa unaisi urusi ni TanzaniaHakuna kitu kinafirisi kama vita, Warussia watuulize Tanzania hadi mawaziri wa Nyerere walikuwa na Kaunda Suit tatu tatu tu.
Wewe jamaa umevunja mbavu zangu hadi Waziri makuu soko nne alikuwa na oair tatu za viatuHakuna kitu kinafirisi kama vita, Warussia watuulize Tanzania hadi mawaziri wa Nyerere walikuwa na Kaunda Suit tatu tatu tu.
Unajifanya unaijua sana urusi as if umezaliwa Moscow, urusi ana historia chafu ya kushindwa vita, ww1 mjapani alimchakaza, 1939 Finland alimchakaza kishenzi, hata ww2 asingemuweza Hitler sema mgermani alikuwa anapigina maeneo mengi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unatoa reference ya vita yenu ambayo hata hamkujiandaa mliendaa kama vichaaa unaisi urusi ni Tanzania
Endelea kusubiri embe chini ya mpapai... umoja na utangamano ndani ya Urusi unaenda kuwa mbaya zaidi kuliko ilivyokuwa kabla ya vita; kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa na kijamii yanaenda kutokea ikiwamo utawala wa mkono wa chuma kufikia mwisho.
Naiona Urusi ya kidemokrasia mbeleni huko; Urusi isiyotawaliwa na maamuzi ya mtu mmoja au kakikundi ka wachache bali matakwa ya wananchi; Urusi isiyokuwa na "rais wa maisha" bali Urusi yenye viongozi waliowekwa na watu kwa ajili ya watu na sio madikteta yaliyojitawaza kuwa marais wa maisha.
Huyu fashisti amejigeuza waziri mkuu na rais mara kadhaa kabla ya kuona huo ni usumbufu hatimaye akabadili katiba atawale milele kwa raha zake. Hili chaka aliloingia hatoki salama.
Ma- orgachi ndio watakaomtoa Putin madarakani maana hawatakubali wawekewe vikwazo na ulaya vinavyopelekea wao kufilisika.Gorbachev aliamini ndani Urusi nzima kuna mbadala wake, Putin aamini ikiwa kuna mbadala wake ndani ya Urusi.
moja ya Ma- Orgachi ambaye mali zake zimetaifishwa alinukuliwa akisema:, mataifa ya magharibi yanatuonea bure hawaijui nguvu inayoendesha Kremlin.
hii inatoa picha kwamba putin ndiye konda na ndiye dereva.
Ma-orgachi = Oligarchs 🤣🤣🤣Ma- orgachi ndio watakaomtoa Putin madarakani maana hawatakubali wawekewe vikwazo na ulaya vinavyopelekea wao kufilisika.
Swala sio kujiandaa, swala ni gharama na Urusi kwa uchumi wake hawezi kupigana muda mrefu na vikwazo juu ndio maana anaomba msaada China.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unatoa reference ya vita yenu ambayo hata hamkujiandaa mliendaa kama vichaaa unaisi urusi ni Tanzania
Bonyeza hata embe mkuu.Kupata vichekesho kama hivi kutoka kwa mashabiki wa NATO tubonyeze ngapi?
Pole sana,unashabikia vitu usivyovielewa.Kupata vichekesho kama hivi kutoka kwa mashabiki wa NATO tubonyeze ngapi?
Si ndio hapo!!!, Mbwembwe zote Kumbe hamna kitu.Nchi ndogo(Ukraine) wamepigana mwezi mzima? Mrusi(Putin) kafeli.