Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

Vita vya Ukraine: Putin hadanganyi kuhusu matumizi ya silaha za nyuklia, EU yasema tupo wakati hatari.

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
761e0bf8-5f63-4ba0-bee1-b4ba97f4445a.jpg
761e0bf8-5f63-4ba0-bee1-b4ba97f4445a.jpg

Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
 
Zilongwa mbali zitendwa mbali, iyo kauli ya "sidanganyi " ni ya kuku anaeweweseka roho kuacha mwili
Ni kama wale mbwa koko wanaobwekagaga usiku kucha mtaani.Lakini Mbwa hatari siku zote wamefungiwa na wapo kimya,jichanganye eneo lao ndiyo utaujua mziki wao.
 
Back
Top Bottom