Vita vya Urusi na utawala wa dola

Vita vya Urusi na utawala wa dola

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,091
Reaction score
3,695
Leo naomba niwe newtro kidogo. Sorry pro-west wenzangu.

Miaka ya 1900+ kama sjakosea, USA alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni.

Ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa usa ulipo.

Na pia ndo maana usa amechkua jukum la kuusambaratisha kabisa uwezo wa kijesh wa russia. na wa kiuchumi. Hapa sasa vita ndioo ilipo.

Ngoja tuone maana usa akushupalia jambo kwenye nchi yako. jua kabisa hatakuacha salama.

Kuvunjika kwa dola la soviet ilikua mioango ya usa ya mda mref baada ya vuta baridi. Sasa hvi rada zinammulika sana Russia.

China yeye hana shida sana. uchumi wake kuusambaratisha ni masaa tu. sema Usa hawez msambaratisha mchina haraka kwa sabab uchumi wa china unamsaidia sana USA. KWA namna moja au nyingine.

Russia ni rahisi kumsambaratisha maana hakuna kitu USA anategemea kwa russia. ugum unakuja kwa washirika ambao wanamtegemea sana Russia.

Ndio maana kampen iliopo sasa ni USA kuwaondoa washirika wake kwenye kweny utegemez wa rasilimali za russia.

Kosa analo lifanya russia sasa ni kuwafanya washirika wa USa waumie ili wajutie au washindwe kujitoa kwenye utegemez wake. Hii inawafanya washirika wazidi kutafuta mbadala mapema zaid na kwa haraka.

Maana wakati wakujiliwa na mkono wa chuma wa USA. hayo masoko mbadala ya rusia huko africa na asia hayata msaidia maana hao anao wageukia marekani kawashika hadi vichwa. na USA hajawahi kujali maumivu ya watu ambao sio washirika wake.

Mbinu anayo ifanya russia sasa ni kuondoa utawala wa dola ili nchi ambazo sio washirika wasiumizwe pia wakat huo huo kumpa yeye mrusi uahueni flani.

Hapo ndio ugumu ulipo.

Kwanini? Kwanza kuipata fedha itakayo kua newtro itakayo himili mikiki alianza na rublo ikashindwa akaona aipigie promo Yuan. sasa tuje kwenye. io yuan ya China.

Mtakubaliana na mimi kua china ndio taifa lenye akiba kubwa sana ya dola dunian. itachukua miaka china kuacha kuitegemea dola. wachumi wanaumiza vichwa jins gan wataipunguza dola na kuipunguza dola kutaifanya dola kurudi usa na kwa nchi washirika na kuwainua sana kiuchumi. maana ili kuipunguza dola lazima mchina atumie yuan kuiondoa dola kwenye akiba yake.

Taifa kichaa tu ndilo litakubali kusucrifice akiba yake ya dola kwa ajil ya kupata yuan. na awashawish washirika watakuo kubali kulimbikiziwa hizo dola. trust me hii process ni ya jasho na damu.

Walipoona ugumu basi wakasema kila taifa kitumie currency yake lakini dola imekaa mahali flan juu inawasubir maana lazima watakutana nayo tu. kupitia mikopo ya imf na ununuzi wa unkwepablo bizaa zinazo hitaj dola.

Ndo mana USA hata haangaiki kuzijibu hizi harakat zao.
 
.
Screenshot_20230420-215232.jpg
 
Hili andiko halina utaalamu wowote ni hisia na mawazo yako binafsi.
Kabisa,andiko limejaa blah blah tu badala ya detailed analysis!Kuna mambo mengine tuwaachie wachumi!
Nimeshaangaa aliposema Dollar zikirudi na kurundikana US na Kwa washirika wake wa Karibu basi kutawainua sana kiuchumi!Hii principle gani ya uchumi?😀
 
Marekani bado ni taifa kubwa linalotegemewa na dunia nzima kwa mambo mengi sana kiasi kwamba hakuna nchi itakayoweza kuikwepa sarafu yake.

Yeye mwenyewe ili ufanye biashara naye hakuna pesa mtakayotumia tofauti na dola na zile taasisi kubwa zenye kukopesha fedha alizounda yeye zitaendelea kukopesha fedha kwa kutumia dola hiyo hiyo na wakati wa kulipa wale waliokopeshwa watalipa kwa dola hiyo hiyo.

Hivyo kufikiria kuachana na dola ni ndoto tu na wala haina uhalisia wowote.
 
Toka Santuli ya kuachana Dola ianza kuumbwa sijawai sikia kiongozi yoyote wa Us akiongelea Santuli hiyo.
wapo kimya!! as if hakuna kinachoendelea ila wanaotaka kuachana na Dola kila siku vikao.
Ukiona unamtisha Mmeo/Mkeo kumpa talaka but haonyeshi reaction yoyote juu ilo, jitathimini.
Uenda hiyo talaka unayo taka kuitoa ikawa ndiyo anguko completely.
 
leo naomba niwe newtro kidogo.
sor pro west wenzangu.

miaka ya 1900+ kama sjakosea.
USA. alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni.

ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa usa ulipo.

na pia ndo maana usa amechkua jukum la kuusambaratisha kabisa uwezo wa kijesh wa russia. na wa kiuchumi

hapa sasa vita ndioo ilipo.

ngoja tuone. maana usa akushupalia jambo kwenye nchi yako. jua kabisa hatakuacha salama

kuvunjika kwa dola la soviet ilikua mioango ya usa ya mda mref baada ya vuta baridi.

sasa hvi rada zinammulika sana russia.

china yeye hana shida sana. uchumi wake kuusambaratisha ni masaa tu. sema Usa hawez msambaratisha mchina haraka kwa sabab uchumi wa china unamsaidia sana USA. KWA namna moja au nyingine.

russia ni rahisi kumsambaratisha maana hakuna kitu USA anategemea kwa russia. ugum unakuja kwa washirika ambao wanamtegemea sana russia.

ndio maana kampen iliopo sasa ni USA kuwaondoa washirika wake kwenye kweny utegemez wa rasilimali za russia.

kosa analo lifanya russia sasa ni kuwafanya washirika wa USa waumie ili wajutie au washindwe kujitoa kwenye utegemez wake.
hii inawafanya washirika wazidi kutafuta mbadala mapema zaid na kwa haraka.

maana wakati wakujiliwa na mkono wa chuma wa USA. hayo masoko mbadala ya rusia huko africa na asia hayata msaidia maana hao anao wageukia marekani kawashika hadi vichwa. na USA hajawahi kujali maumivu ya watu ambao sio washirika wake.

mbinu anayo ifanya russia sasa ni kuondoa utawala wa dola ili nchi ambazo sio washirika wasiumizwe pia wakat huo huo kumpa yeye mrusi uahueni flani.

apo ndio ugumu ulipo.
kwanini.

kwanza kuipata fedha itakayo kua newtro itakayo himili mikiki
alianza na rublo ikashindwa akaona aipigie promo Yuan. sasa tuje kwenye. io yuan ya china.

mtakubaliana na mimi kua china ndio taifa lenye akiba kubwa sana ya dola dunian. itachukua miaka china kuacha kuitegemea dola. wachumi wanaumiza vichwa jins gan wataipunguza dola.

na kuipunguza dola kutaifanya dola kurudi usa na kwa nchi washirika na kuwainua sana kiuchumi. maana ili kuipunguza dola lazima mchina atumie yuan kuiondoa dola kwenye akiba yake.

taifa kichaa tu ndilo litakubali kusucrifice akiba yake ya dola kwa ajil ya kupata yuan. na awashawish washirika watakuo kubali kulimbikiziwa hizo dola. trust me hii process ni ya jasho na damu.

walipoona ugumu basi wakasema kila taifa kitumie currency yake lakini dola imekaa mahali flan juu inawasubir maana lazima watakutana nayo tu. kupitia mikopo ya imf na ununuzi wa unkwepablo bizaa zinazo hitaj dola.

ndo mana USA hata haangaiki kuzijibu hizi harakat zao.
Mwenyewe umekaa umefikiri na ukaona hili bandiko limejaa painti kibao. Umeandika USHUZII mtupu hata mtoto wa darasa la saba hawezi kufikili kijinga namana hii. PUMBAFU
 
Kabisa,andiko limejaa blah blah tu badala ya detailed analysis!Kuna mambo mengine tuwaachie wachumi!
Nimeshaangaa aliposema Dollar zikirudi na kurundikana US na Kwa washirika wake wa Karibu basi kutawainua sana kiuchumi!Hii principle gani ya uchumi?[emoji3]

nmetumia logic ya kawaida ili kila mtu aelewe. kama ulivoona hio hainake sense ndivo ilivo swala la kuliangamiza dola. halimake sense
tumia purposive approach kumuelewa mwandishi
 
Toka Santuli ya kuachana Dola ianza kuumbwa sijawai sikia kiongozi yoyote wa Us akiongelea Santuli hiyo.
wapo kimya!! as if hakuna kinachoendelea ila wanaotaka kuachana na Dola kila siku vikao.
Ukiona unamtisha Mmeo/Mkeo kumpa talaka but haonyeshi reaction yoyote juu ilo, jitathimini.
Uenda hiyo talaka unayo taka kuitoa ikawa ndiyo anguko completely.

USA anaweza kuwawekea vikwazo bara zima la asia. na asitikisike mwenyewe maana halisi ya Baba mweny nyumba
 
leo naomba niwe newtro kidogo.
sor pro west wenzangu.

miaka ya 1900+ kama sjakosea.
USA. alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni.

ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa usa ulipo.

na pia ndo maana usa amechkua jukum la kuusambaratisha kabisa uwezo wa kijesh wa russia. na wa kiuchumi

hapa sasa vita ndioo ilipo.

ngoja tuone. maana usa akushupalia jambo kwenye nchi yako. jua kabisa hatakuacha salama

kuvunjika kwa dola la soviet ilikua mioango ya usa ya mda mref baada ya vuta baridi.

sasa hvi rada zinammulika sana russia.

china yeye hana shida sana. uchumi wake kuusambaratisha ni masaa tu. sema Usa hawez msambaratisha mchina haraka kwa sabab uchumi wa china unamsaidia sana USA. KWA namna moja au nyingine.

russia ni rahisi kumsambaratisha maana hakuna kitu USA anategemea kwa russia. ugum unakuja kwa washirika ambao wanamtegemea sana russia.

ndio maana kampen iliopo sasa ni USA kuwaondoa washirika wake kwenye kweny utegemez wa rasilimali za russia.

kosa analo lifanya russia sasa ni kuwafanya washirika wa USa waumie ili wajutie au washindwe kujitoa kwenye utegemez wake.
hii inawafanya washirika wazidi kutafuta mbadala mapema zaid na kwa haraka.

maana wakati wakujiliwa na mkono wa chuma wa USA. hayo masoko mbadala ya rusia huko africa na asia hayata msaidia maana hao anao wageukia marekani kawashika hadi vichwa. na USA hajawahi kujali maumivu ya watu ambao sio washirika wake.

mbinu anayo ifanya russia sasa ni kuondoa utawala wa dola ili nchi ambazo sio washirika wasiumizwe pia wakat huo huo kumpa yeye mrusi uahueni flani.

apo ndio ugumu ulipo.
kwanini.

kwanza kuipata fedha itakayo kua newtro itakayo himili mikiki
alianza na rublo ikashindwa akaona aipigie promo Yuan. sasa tuje kwenye. io yuan ya china.

mtakubaliana na mimi kua china ndio taifa lenye akiba kubwa sana ya dola dunian. itachukua miaka china kuacha kuitegemea dola. wachumi wanaumiza vichwa jins gan wataipunguza dola.

na kuipunguza dola kutaifanya dola kurudi usa na kwa nchi washirika na kuwainua sana kiuchumi. maana ili kuipunguza dola lazima mchina atumie yuan kuiondoa dola kwenye akiba yake.

taifa kichaa tu ndilo litakubali kusucrifice akiba yake ya dola kwa ajil ya kupata yuan. na awashawish washirika watakuo kubali kulimbikiziwa hizo dola. trust me hii process ni ya jasho na damu.

walipoona ugumu basi wakasema kila taifa kitumie currency yake lakini dola imekaa mahali flan juu inawasubir maana lazima watakutana nayo tu. kupitia mikopo ya imf na ununuzi wa unkwepablo bizaa zinazo hitaj dola.

ndo mana USA hata haangaiki kuzijibu hizi harakat zao.
huna aibu eti pro west leo nipo neutral .......halafu umeandika blaah blaah blaaah ......
 
ushuzi wa kuku huu ulioandika alafu usiseme uko neutral sema ukweli tuu kuwa wewe ni pro westerns......na jnatetea maslahi ya marekani na wenzie full stop
 
Back
Top Bottom