Mrengwa wa kulia
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,091
- 3,695
Leo naomba niwe newtro kidogo. Sorry pro-west wenzangu.
Miaka ya 1900+ kama sjakosea, USA alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali ya madeni.
Ndo mana russia anapenda sana kutumia mikwara ya nukes kwa sababu nyuklia ndio udhaif wa usa ulipo.
Na pia ndo maana usa amechkua jukum la kuusambaratisha kabisa uwezo wa kijesh wa russia. na wa kiuchumi. Hapa sasa vita ndioo ilipo.
Ngoja tuone maana usa akushupalia jambo kwenye nchi yako. jua kabisa hatakuacha salama.
Kuvunjika kwa dola la soviet ilikua mioango ya usa ya mda mref baada ya vuta baridi. Sasa hvi rada zinammulika sana Russia.
China yeye hana shida sana. uchumi wake kuusambaratisha ni masaa tu. sema Usa hawez msambaratisha mchina haraka kwa sabab uchumi wa china unamsaidia sana USA. KWA namna moja au nyingine.
Russia ni rahisi kumsambaratisha maana hakuna kitu USA anategemea kwa russia. ugum unakuja kwa washirika ambao wanamtegemea sana Russia.
Ndio maana kampen iliopo sasa ni USA kuwaondoa washirika wake kwenye kweny utegemez wa rasilimali za russia.
Kosa analo lifanya russia sasa ni kuwafanya washirika wa USa waumie ili wajutie au washindwe kujitoa kwenye utegemez wake. Hii inawafanya washirika wazidi kutafuta mbadala mapema zaid na kwa haraka.
Maana wakati wakujiliwa na mkono wa chuma wa USA. hayo masoko mbadala ya rusia huko africa na asia hayata msaidia maana hao anao wageukia marekani kawashika hadi vichwa. na USA hajawahi kujali maumivu ya watu ambao sio washirika wake.
Mbinu anayo ifanya russia sasa ni kuondoa utawala wa dola ili nchi ambazo sio washirika wasiumizwe pia wakat huo huo kumpa yeye mrusi uahueni flani.
Hapo ndio ugumu ulipo.
Kwanini? Kwanza kuipata fedha itakayo kua newtro itakayo himili mikiki alianza na rublo ikashindwa akaona aipigie promo Yuan. sasa tuje kwenye. io yuan ya China.
Mtakubaliana na mimi kua china ndio taifa lenye akiba kubwa sana ya dola dunian. itachukua miaka china kuacha kuitegemea dola. wachumi wanaumiza vichwa jins gan wataipunguza dola na kuipunguza dola kutaifanya dola kurudi usa na kwa nchi washirika na kuwainua sana kiuchumi. maana ili kuipunguza dola lazima mchina atumie yuan kuiondoa dola kwenye akiba yake.
Taifa kichaa tu ndilo litakubali kusucrifice akiba yake ya dola kwa ajil ya kupata yuan. na awashawish washirika watakuo kubali kulimbikiziwa hizo dola. trust me hii process ni ya jasho na damu.
Walipoona ugumu basi wakasema kila taifa kitumie currency yake lakini dola imekaa mahali flan juu inawasubir maana lazima watakutana nayo tu. kupitia mikopo ya imf na ununuzi wa unkwepablo bizaa zinazo hitaj dola.
Ndo mana USA hata haangaiki kuzijibu hizi harakat zao.