Vita ya Aleppo inaanza tena

Kwa jambo hili basi Iran na urusi ndio waliyefadhili lile tukio juu ya Israel. Hamas kuvamia israel mwaka jana
 
Hao waasi hapo kwa Iran wanatafuta matatizo yani unamletea ugaidi gaidi kubuhu? Sasa hivi litatokea kundi jingine ghafla sana lianze uchinjaji Iran kwa vikundi hajambo
Bwashee hayo ndio maisha tuliyochagua sisi waajemi,tumeshazoea kuruka sarakasi huku tukiwa tumevaa msuli na kobazi zetu.Sasa hawa watoto wadogo wacha tu tuwafirimbe mpaka wachakae
 
Mmmmm! Kweli kazi ipo. Nimekuelewa.
 
Syria is Complicated
 

Attachments

  • 18927262_gddwagybcaanzen_jpeg_jpeg288f8c2ef03c5f411443dc92f48b7137.jpeg
    83.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…