Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

Tukae tukubali.....biblia imeitaja marekani kama kilanja wa dunia mpaka yesu atakapo rudi....sioni mwanya wa china kuitawala dunia....unajua utawala wa mwisho kuitawala dunia itakuwa na mfumo gani? Niulize mm.
 
Wamarekani na wamagharibi wamehubiri soko huria kila siku miaka yote. Sababu ni kuwa walikuwa na upper hand. Leo wamepata mshindani wa kweli sokoni wanaona machungu ya soko huria ambayo tunapitia daily nchi maskini. Wanaanza kukiuka kanuni zao wenyewe.

China iko mbali sana kwenye magari ya umeme na masuala ya AI. Wakiendelea kuplay na rules na soko huria wataporomoka vibaya.
 
Trash kabisaa unaisi dunia inaangalia nyuma au Inatazama Nani Yuko wapi saivi dunia inaangalia mbele,

Au unaisi marekani alivyokuwa anamuwekea China vikwazo vya kibiashara alikuwa anaigiza au alikuwa anamuonea wivu kweli wewe ndyo hanagwa kabisa.

Marekani anajua anguko lake limekaribia na nusu Karne haifiki asipokuwa makini anatoka pale juu marekani bidhaa zenye soko ni zenye kutoka China sababu ya urahisi WA bei na bado zina uimara uleule kama za kwao ndyo maana ushuru ukaongezwa Kwa bidhaa kutoka China Kwa asilimia 25 China ndyo soko kubwa Kwa bidhaa nyingi kutoka ulaya na marekani kwenyewe ndyo maana na wao hawana budi kupokea bidhaa za China kishingo upande ata kama hawatakii

Unasemea semiconductor unajua kwanini marekani juzi katoa vibali Kwa kampuni ya Huawei na kampuni nyingine za China zinazousiana na utengenezaji semiconductor au hujasikia uhaba wa chip duniani makampuni yote ya simu magari yanalalamikia uhaba wa chip ivi unaichukualia China na kelele zenu za mtaani kwenu apo bonyokwa l
 
China hawezi kuitawala hii dunia bwana acheni mzaha. Yaani utawale dunia kwa Reverse Engineering kweli halafu nani atakaa ajifunze kichina mtu ambaye hamtambui hata Mungu.
Take away the rubbish.
 
Cosco Shipping
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…