Blah blah blah
itakuja,itaweza,itafanya,ita-blah blah blah
Wapo miaka yote,jet engines hawawezi....
Wapo miaka yote microprocessing chips hawawezi,ni USA,Taiwan and South Korea tu
Wapo miaka yoote ndege ni lazima wanunue Boeing na Lockheed Martin
Ni technology ngumu hazikopiki kirahisi.....
Ooh,wanajenga,watakuja mara watafanya...ndoto unaongelea...sio leo na wakijenga hapakii mtu mpaka miaka 20 ipite ndio watu wataamini
Ulishaenda China viwandani?Hujawahi,mimi nimeenda mara nyingi....nikueleze tu,viwandani mwao pote mashine za kujenga bidhaa zimetoka Germany na Japan,hakuna mashine yao hata moja!
Magari yenyewe yamewashinda...yaani mpaka gari ya mchina ije ichukue dunia ni miaka 20 ijayo
Halafu mmekaa hapa mnadhani USA na Germany na wengine wamelala wanasubiri China ampite tu?
Wewe kanunue malapa,vyombo,nguo,waya,urembo,vitenge,etc China....Huwezi nunua Bombadier au Boeing China wewe maiti,ndege ingeanguka
Stop this nonsense!