Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

Blah blah blah

itakuja,itaweza,itafanya,ita-blah blah blah

Wapo miaka yote,jet engines hawawezi....

Wapo miaka yote microprocessing chips hawawezi,ni USA,Taiwan and South Korea tu

Wapo miaka yoote ndege ni lazima wanunue Boeing na Lockheed Martin

Ni technology ngumu hazikopiki kirahisi.....

Ooh,wanajenga,watakuja mara watafanya...ndoto unaongelea...sio leo na wakijenga hapakii mtu mpaka miaka 20 ipite ndio watu wataamini

Ulishaenda China viwandani?Hujawahi,mimi nimeenda mara nyingi....nikueleze tu,viwandani mwao pote mashine za kujenga bidhaa zimetoka Germany na Japan,hakuna mashine yao hata moja!

Magari yenyewe yamewashinda...yaani mpaka gari ya mchina ije ichukue dunia ni miaka 20 ijayo

Halafu mmekaa hapa mnadhani USA na Germany na wengine wamelala wanasubiri China ampite tu?

Wewe kanunue malapa,vyombo,nguo,waya,urembo,vitenge,etc China....Huwezi nunua Bombadier au Boeing China wewe maiti,ndege ingeanguka

Stop this nonsense!
Tukae tukubali.....biblia imeitaja marekani kama kilanja wa dunia mpaka yesu atakapo rudi....sioni mwanya wa china kuitawala dunia....unajua utawala wa mwisho kuitawala dunia itakuwa na mfumo gani? Niulize mm.
 
Wamarekani na wamagharibi wamehubiri soko huria kila siku miaka yote. Sababu ni kuwa walikuwa na upper hand. Leo wamepata mshindani wa kweli sokoni wanaona machungu ya soko huria ambayo tunapitia daily nchi maskini. Wanaanza kukiuka kanuni zao wenyewe.

China iko mbali sana kwenye magari ya umeme na masuala ya AI. Wakiendelea kuplay na rules na soko huria wataporomoka vibaya.
 
Blah blah blah

itakuja,itaweza,itafanya,ita-blah blah blah

Wapo miaka yote,jet engines hawawezi....

Wapo miaka yote microprocessing chips hawawezi,ni USA,Taiwan and South Korea tu

Wapo miaka yoote ndege ni lazima wanunue Boeing na Lockheed Martin

Ni technology ngumu hazikopiki kirahisi.....

Ooh,wanajenga,watakuja mara watafanya...ndoto unaongelea...sio leo na wakijenga hapakii mtu mpaka miaka 20 ipite ndio watu wataamini

Ulishaenda China viwandani?Hujawahi,mimi nimeenda mara nyingi....nikueleze tu,viwandani mwao pote mashine za kujenga bidhaa zimetoka Germany na Japan,hakuna mashine yao hata moja!

Magari yenyewe yamewashinda...yaani mpaka gari ya mchina ije ichukue dunia ni miaka 20 ijayo

Halafu mmekaa hapa mnadhani USA na Germany na wengine wamelala wanasubiri China ampite tu?

Wewe kanunue malapa,vyombo,nguo,waya,urembo,vitenge,etc China....Huwezi nunua Bombadier au Boeing China wewe maiti,ndege ingeanguka

Stop this nonsense!
Trash kabisaa unaisi dunia inaangalia nyuma au Inatazama Nani Yuko wapi saivi dunia inaangalia mbele,

Au unaisi marekani alivyokuwa anamuwekea China vikwazo vya kibiashara alikuwa anaigiza au alikuwa anamuonea wivu kweli wewe ndyo hanagwa kabisa.

Marekani anajua anguko lake limekaribia na nusu Karne haifiki asipokuwa makini anatoka pale juu marekani bidhaa zenye soko ni zenye kutoka China sababu ya urahisi WA bei na bado zina uimara uleule kama za kwao ndyo maana ushuru ukaongezwa Kwa bidhaa kutoka China Kwa asilimia 25 China ndyo soko kubwa Kwa bidhaa nyingi kutoka ulaya na marekani kwenyewe ndyo maana na wao hawana budi kupokea bidhaa za China kishingo upande ata kama hawatakii

Unasemea semiconductor unajua kwanini marekani juzi katoa vibali Kwa kampuni ya Huawei na kampuni nyingine za China zinazousiana na utengenezaji semiconductor au hujasikia uhaba wa chip duniani makampuni yote ya simu magari yanalalamikia uhaba wa chip ivi unaichukualia China na kelele zenu za mtaani kwenu apo bonyokwa l
 
China hawezi kuitawala hii dunia bwana acheni mzaha. Yaani utawale dunia kwa Reverse Engineering kweli halafu nani atakaa ajifunze kichina mtu ambaye hamtambui hata Mungu.
Take away the rubbish.
 
Umeandika Kama chizi aliyekatwa kichwa embu fatilia vizuri ulichoandika nikwambie tu China anakuja kutake over Kwa kila kitu izoo jeti engine unazosemea nikwambie tu China yupo kwenye majaribia ya mwisho ya ndege zake binafsi za abiria, utengenezaji wa magari China ameshatoka uko kitambo ana zaidi ya kampuni Saba za uundaji wa magari na miaka mitano ijayoo asilimia 30 ya magari yote ya umeme duniani yatakuwa yanatokea China, China ni muundaji mkubwa WA meli duniani kijana embu tafuta habari achana na vyombo vya magharibi vilivyoegemea upande mmoja WA habari sababu ya ugumu wa maisha ndyo maana China wanaleta bidhaa zenye Hadhi na thamani ya pesa uliyo nayoo Ila China Wana bidhaa Bora na nzurii snaa Leo hii upatikanaji wa bidhaa kama simu, computer na vingine vingi vimekuwa rahisi sababu ya China kama hukuwai kumiliki simu 2004 huwezi kujua thamani ya simu kipindi kile na Leo
Cosco Shipping
 
Back
Top Bottom