Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!
1542105235688.jpg
 
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!View attachment 932143
Wasanii hot 1-3 wako WCB
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
 
Zama hizi mwenye nguvu ni yule aliyeikamata Social networking. Kama umefuatilia trend ya mziki wa bongo fleva kuanzia social networking (fb, insta, YouTube) na digital platform (boomplay, iTunes, sportfy), aliyezishika hizi ndiye atakaye shinda kwani hamna media itakayoweza shindana na social networking.
 
Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
Ewaaa... hapo nlitaka kuzungumzia Balimi Vs Pilsner.

Hapo kwa K Vant na Serengeti hata mimi niko upande wao. Nyagi imefanikiwa kunipotezea sana memory.
 
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!View attachment 932143
Naomba nikusahihishe kiongozi tarehe 24 clouds ndio walioanza wakaja hao wcb ukisema kuna vita utakuwa umekosea boss rudisha kumbukumbu zako nyuma au kama ulikuwa hujui basi ujue walioanza ni clouds na ratiba ya tarehe hiyo ipo toka fiesta imeanza.
 
Acha uongo, kama una unauthibitisho weka hapa.
 
Back
Top Bottom