Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!