Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Ewaaa... hapo nlitaka kuzungumzia Balimi Vs Pilsner.

Hapo kwa K Vant na Serengeti hata mimi niko upande wao. Nyagi imefanikiwa kunipotezea sana memory.
😁😁😁 team nyagi💪 milele
 
Naomba nikusahihishe kiongozi tarehe 24 clouds ndio walioanza wakaja hao wcb ukisema kuna vita utakuwa umekosea boss rudisha kumbukumbu zako nyuma au kama ulikuwa hujui basi ujue walioanza ni clouds na ratiba ya tarehe hiyo ipo toka fiesta imeanza.
ilete
 
Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!View attachment 932143
Sijaelewa kwanini kichwa cha uzi kind nasomeka hivyo!?
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Huwa Safari,balimi na konyagi tunawaita "wenye Kaya"
Wanywaji huzurura weee kisha wanaangukia pale pale walipotoka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lahaulaaa kumbe tuko wengi! Kijiweni kwetu nyagi tumeipa jina "kichaa" au "ufutio" coz ukiamka asubuhi hukumbuki chochote,inafuta memory zooote
 
Hawa jamaa wanatuchezea akili... Wacha wapige pesa tu
20181108_025158.jpeg
 
Back
Top Bottom