Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Doh kumbe siko peke yangu. Ile makitu ni kifutio kabisa. Inapoteza mazima... afu asubuhi mdomo unatoa harufu kama choo cha stendi.. .Lahaulaaa kumbe tuko wengi! Kijiweni kwetu nyagi tumeipa jina "kichaa" au "ufutio" coz ukiamka asubuhi hukumbuki chochote,inafuta memory zooote