Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Wasanii hot 1-3 wako WCBSiku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!View attachment 932143
Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huuHayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
nimewahi siti leo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Labda ana wasanii wake mfukoniWasanii wakubwa wanne tanzania wako wcb sasa unataka wasanii gani??
Ewaaa... hapo nlitaka kuzungumzia Balimi Vs Pilsner.Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
Naomba nikusahihishe kiongozi tarehe 24 clouds ndio walioanza wakaja hao wcb ukisema kuna vita utakuwa umekosea boss rudisha kumbukumbu zako nyuma au kama ulikuwa hujui basi ujue walioanza ni clouds na ratiba ya tarehe hiyo ipo toka fiesta imeanza.Siku chache baada ya WCB kutangaza tarehe ya tamasha lao,litakalofabnyika mtwara Nov 24,huku maandalizi ya kuwasign wasanii watakao perform yakishika kasi,Clouds nao wametangaza tarehe kama hiyo(Nov 24) ambapo tigo fiesta itafanyika jijini Dar...mnyukano uliopo ni kwamba wasanii ambao wako HOT watakubali kwenda upande upi Mtwara au Dar? Huu Mchezo usiuchezee wewe..!!!View attachment 932143
Lahaulaaa kumbe tuko wengi! Kijiweni kwetu nyagi tumeipa jina "kichaa" au "ufutio" coz ukiamka asubuhi hukumbuki chochote,inafuta memory zoooteEwaaa... hapo nlitaka kuzungumzia Balimi Vs Pilsner.
Hapo kwa K Vant na Serengeti hata mimi niko upande wao. Nyagi imefanikiwa kunipotezea sana memory.
Acha uongo, kama una unauthibitisho weka hapa.Naomba nikusahihishe kiongozi tarehe 24 clouds ndio walioanza wakaja hao wcb ukisema kuna vita utakuwa umekosea boss rudisha kumbukumbu zako nyuma au kama ulikuwa hujui basi ujue walioanza ni clouds na ratiba ya tarehe hiyo ipo toka fiesta imeanza.