Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Ewaaa... hapo nlitaka kuzungumzia Balimi Vs Pilsner.

Hapo kwa K Vant na Serengeti hata mimi niko upande wao. Nyagi imefanikiwa kunipotezea sana memory.
😁😁😁 team nyagi💪 milele
 
Naomba nikusahihishe kiongozi tarehe 24 clouds ndio walioanza wakaja hao wcb ukisema kuna vita utakuwa umekosea boss rudisha kumbukumbu zako nyuma au kama ulikuwa hujui basi ujue walioanza ni clouds na ratiba ya tarehe hiyo ipo toka fiesta imeanza.
ilete
 
Sijaelewa kwanini kichwa cha uzi kind nasomeka hivyo!?
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Huwa Safari,balimi na konyagi tunawaita "wenye Kaya"
Wanywaji huzurura weee kisha wanaangukia pale pale walipotoka
 
Sijaelewa kwanini kichwa cha uzi kind nasomeka hivyo!?
writing skills,ingekuja kwa upande positive wa wcb usingeona wachangiaji hapa....but andika kitu kama unawadiss wcb utaona wanavyomiminika...umenisoma?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lahaulaaa kumbe tuko wengi! Kijiweni kwetu nyagi tumeipa jina "kichaa" au "ufutio" coz ukiamka asubuhi hukumbuki chochote,inafuta memory zooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…