21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,280
- 2,814
Labda wanajitoleaMbona wanalalamika wanaimba fiesta na hawalipwi
[emoji1][emoji1][emoji1]Wasanii wakubwa wanne tanzania wako wcb sasa unataka wasanii gani??
Mkuu si kweli clouds wakati wana lounge fiesta hwakutangaza tarehe zaidi ya tarehe ya morogoro tu. Kisha wakasema kila weekend itakuwa fiestaShida yako ni uthibitisho nakueleza hivyo kwa sababu ratiba ya fiesta yote ipo unachotaka wewe ni ushindani usiokuwa na maana.
Ni sahihi mkuu ila ratiba ipo mkuu sijakosea kusema hivyo ilitumwa kwenye group zetu za kazi mkuu.Mkuu si kweli clouds wakati wana lounge fiesta hwakutangaza tarehe zaidi ya tarehe ya morogoro tu. Kisha wakasema kila weekend itakuwa fiesta
Wasanii wa mafungu ni wapi ngosha? Kwa sababu kiuhalisia WMG ndio wana wanamuziki wanaopendwa na kukubalika kuliko hao wanao-pafom fiesta.Usitake kufananisha Clouds na hao wengine. Stil Clouds ni wakongwe na wazoefu kwenye mambo ya burudani.
Huko nangwanda wataenda hao wasanii wa mafungu.
Kuondoa ukakasi brother iweke hapaNi sahihi mkuu ila ratiba ipo mkuu sijakosea kusema hivyo ilitumwa kwenye group zetu za kazi mkuu.
Mimi nitakuwa naangalia mnyukano wa serengeti lite maana nauelewa sanaHayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Mbona unafanya mambo yawe magumu bwashee,weka hiyo ratiba hapa kwani kuna dhambi gani kutuletea hiyo kitu? au Ruge kawaambia msisambaze hiyo ratiba?Ni sahihi mkuu ila ratiba ipo mkuu sijakosea kusema hivyo ilitumwa kwenye group zetu za kazi mkuu.
Hahahaha, mchezo usiuchezee mkuu.Usitake kufananisha Clouds na hao wengine. Stil Clouds ni wakongwe na wazoefu kwenye mambo ya burudani.
Huko nangwanda wataenda hao wasanii wa mafungu.
Mmiliki wa hizi media ni mmoja ,anacheki mabishano ya mashabiki.
Mzee haya mapambano uliyoyataja ni hatari ..maana kama Kvant sasa ina bonge la muonekano ....Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Nasikitika kuwaambia thread imevamiwa na waleviBalimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu