Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Usitake kufananisha Clouds na hao wengine. Stil Clouds ni wakongwe na wazoefu kwenye mambo ya burudani.
Huko nangwanda wataenda hao wasanii wa mafungu.
 
Shida yako ni uthibitisho nakueleza hivyo kwa sababu ratiba ya fiesta yote ipo unachotaka wewe ni ushindani usiokuwa na maana.
Mkuu si kweli clouds wakati wana lounge fiesta hwakutangaza tarehe zaidi ya tarehe ya morogoro tu. Kisha wakasema kila weekend itakuwa fiesta
 
Usitake kufananisha Clouds na hao wengine. Stil Clouds ni wakongwe na wazoefu kwenye mambo ya burudani.
Huko nangwanda wataenda hao wasanii wa mafungu.
Wasanii wa mafungu ni wapi ngosha? Kwa sababu kiuhalisia WMG ndio wana wanamuziki wanaopendwa na kukubalika kuliko hao wanao-pafom fiesta.
.
Japo CMG ni wakongwe kwenye hizi mambo kuliko WMG
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Mimi nitakuwa naangalia mnyukano wa serengeti lite maana nauelewa sana
 
Ni sahihi mkuu ila ratiba ipo mkuu sijakosea kusema hivyo ilitumwa kwenye group zetu za kazi mkuu.
Mbona unafanya mambo yawe magumu bwashee,weka hiyo ratiba hapa kwani kuna dhambi gani kutuletea hiyo kitu? au Ruge kawaambia msisambaze hiyo ratiba?
 
WCB always Wata Win Wanajua Sana Game za Fitinaaaa.......!!!! ngoja kuanzia Tarehe 20 watachafuaaaaaa mitandao yote ya kijamiii hata Fiesta hutaisikia Tena!!!!!! Diamond tarehe 23 akimleta Zari tuuuuu kuwa host wabongo akili zote zinahamaaaaaaaa huko fiest(Huo ni mfano tuuu)
 
Mpaka sasa

Country boy
Niki mbishi
Dully Sykes
Chin bees
Moni centrozone tayari washasaini kuwepo mtwara
 
Wanasema kila kitu na zama zake, which means kila mtu ana wakati wake huenda ikawa mda wa Downfall ya CMG ila itategemea na strategies walizo nazo kubakia imara sokoni! Kama Wasafi wakifeli kwenye strategies tayari wanakuwa hawana ishu tena!
 
Hayo tunawaachieni madogo. Sisi hivi sasa tunaangalia mnyukano wa Balimi na Safari Lager, castle lite vs Serengeti lite na ile ya kubwa zao Konyagi vs K Vant
Mzee haya mapambano uliyoyataja ni hatari ..maana kama Kvant sasa ina bonge la muonekano ....
 
Tatizo letu hatupendi ushindani.

Mi naona hii ni changamoto kwa clouds na kwa wcb na wasanii wote kwa ujumla. Tanzania kuna wasanii wengi saana wengi wana hit saana. Fiesta ya dar haiwez kuwa accomodate wote kwa siku moja. Hivyo wengine lazima tuu wapate kule mtwara.

Wasanii hawana budi kufanya kazi kwa bidii hawana budi kuwa wabunifu ili kuongeza thamani zao.

Changamoto kwa serekali kuweka mazingira rafiki kwa hawa wana industry kufanya kazi vzr.

heko wasafi festival kwa kuthubutu.

Watanzania tuwe na positive mind. Wcb hawapo ili kuwaangusha clouds na clouds haipo ili kuzuia 'clouds' wengine wasichomoze
 
Balimi na Safari kampuni moja hao wanaenda sawa.bwana wee,vita ni hapo kati ya C. Lite na Senge lite,C.lite kashikwa pabaya sanaaa Senge inauza balaaa!! Huku K Vant ndo usiseme! Toka K Vanga ibadilishwe muonekano mpaka wadada wanainywa hatariiii! Wacha sie tuendelee kumfuatilia mnyukano huu
Nasikitika kuwaambia thread imevamiwa na walevi
 
Back
Top Bottom