Vita ya Burudani: Clouds Media wawashika pabaya WCB

Mkuu kusaga sio sehemu ya wasafi ila alikuwa ni sehemu moja wapo ya waalikwa huenda watu haeajui ila majizzo ka play sehemu kubwa kwenye kufanikisha mzigo unakuwa hewani ila ndio haonekani sana trust me au kama unaweza mpata tare mchombeze chombeze atakupa story
 
unaposema waalikwa una maana gani mkuu?
 
Hivi ukiambiwa uchague kwnda kuwaina bilnas, venessa, aslay, jux etc. Hapa kuna diamond, mbosso, harmonize utaenda wapi? Naona jibu unalo mkuu hapo
 
Hivi ukiambiwa uchague kwnda kuwaina bilnas, venessa, aslay, jux etc. Hapa kuna diamond, mbosso, harmonize utaenda wapi? Naona jibu unalo mkuu hapo
obviously hata wewe jibu unalo😂
 
Tamasha litakuwa pouwa kama wataweka wanamuziki wa kweli. Karaoke (bongo fleva) ni maigizo ya walevi na watoto.
 
Mbona tr hiyo Kiba naye yuko Kahama?
Wasafi ndio wamekamatilia. Time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…