Vita ya familia imekwisha Simba vs Tabora

Vita ya familia imekwisha Simba vs Tabora

Wote tumeshuhudia mechi ya ovyo ya upangaji matokeo

Watanzania wote tungeshangaa kama matokeo yangekuwa tofauti na haya

Yaani Rage mlezi wa Tabora United ambaye ndo alikuwa Mwenyekiti pale Simba na alipata kuwaita mashabiki wa Simba mbumbumbu

Na waamzinwakafanya Yao

Wacha Sasa nitazame game ya Arsenal vs Arsenal vs man city huku nikipiga safari lager za kutosha hapa Mwanza Makumbusho bar Igoma
Wewe achana na hao matokeo yalikuwa yanajulikana tokea lini tabora ikapata matokeo kwa Simba? Mechi zote walizokutana kawapa point Tena kwa kucheza chini ya kiwango uku akifungwa magoli ya kutosha,,but akicheza na Azam ama yanga anakuwa tabora original,,
Ndio maana nikasema yanga wasicheke na kima ata wakiwa wanafunga magoli ya mkono refa aite kati na tunawaunga mkono ni mwendo wa dawa ya moto ni moto
 
Wote tumeshuhudia mechi ya ovyo ya upangaji matokeo

Watanzania wote tungeshangaa kama matokeo yangekuwa tofauti na haya

Yaani Rage mlezi wa Tabora United ambaye ndo alikuwa Mwenyekiti pale Simba na alipata kuwaita mashabiki wa Simba mbumbumbu

Na waamzinwakafanya Yao

Wacha Sasa nitazame game ya Arsenal vs Arsenal vs man city huku nikipiga safari lager za kutosha hapa Mwanza Makumbusho bar Igoma
Una homa wewe.Kama si homa ni kifaduro.Unateseka sana.
 
Back
Top Bottom