NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Anaandia haji manara [emoji3578]
Ajira Ajira Ajira
Vigezo vya kuwa mchambuzi wa Soka Tanzania. Unatakiwa ujue misamiati hii
1. Box to Box
2. Kukabia High-line
3. Half-Space
4. Zonal Marking
5. Wing-back
6. False number 9
7. Final Third,
8,Double pivot
9,Semi Volley
10,Half Metrobolisim Defender
11,Flanks
12, 4,4,2 Diamond au 5.3.2 Tanzanite.
Kisha Changanya Changanya kinge Cha Form four ya Zero yako na Kiswahili, Kama una Maneno hata ya
Biology au ya kilatini, wewe yataje tu.
Pata muda pia wa kumjua Winga mmoja wa Al Ahly au Barcelona iite Barthelona, ukitaka kuwawin zaidi,Taja walau Majina mawili ya Girl friends za Kina Benzema na Neymar.
Ukifuzu hapo, Inatakiwa ujue kimchongo mikataba ya wachezaji wa kibongo, Na uwe kama Mtetezi hivi wa
kuzuga zuga,Tajataja maneno ya kisheria kidogo,hata kama hujui maana yake, we taja tu.
Hatua ya mwisho uchague, Kuwa unaichambua timu ipi sana kwa mahaba, Simba au Yanga, kisha Ponda sana team iliyo bora kwa wakati huo.
Ukimaliza hayo yote, Instagram na Twitter uwe active sana, Na mtafute Mtu mmoja Maarufu sana Tanzania, Mponde kila kitu chake tena kila siku mara tatu na kuendelea.
Rasmi hapo utakua umefuzu kuwa chambuzi professional, na Radio zitakuchukua.
Huhitaji Cheti wala kubeti, Zingatia hivyo vigezo tu, Soon na Wewe utaitwa Chambuzis.
Mwisho kabisa vaa Moka mbaya mbaya na mikanda ya Suruali iwe kama ya Mabwana korosho au
Makonda wa Mabasi ya kwenda Nyihurumbwa.