mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
mkuu hapo kamlenga jemedari said wa -Efm ni mahasimu saana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hii walipenda kusema pia... Ikitokea penati mtangazaji anakwambia.."Miguu kumi na mbili ya mtu mzima"[emoji23][emoji23][emoji23]Naam, ipo misemo mingine mingi nimeiacha wadau muongezee...
Kuinua daluga
Mkwaju wa penati
Mpira unapelekwa mahali kuku anatagia
Anapiga pasi mkaa
Anaanua mpira
Anaunawa mpira
Tunajua kua ni Yanga mwenzetu na alikua mwanachama tangu mwaka 2003.Anaikandia na kuiponda au anasema ukweli ambao hatutaki kuusikia
By the way yanga mwenzenu huyo
[emoji16][emoji16]Kuna hii walipenda kusema pia... Ikitokea penati mtangazaji anakwambia.."Miguu kumi na mbili ya mtu mzima"[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanabifu lao lisilokua na mwisho[emoji16]mkuu hapo kamlenga jemedari said wa -Efm ni mahasimu saana
[emoji16] maneno ya football hayo ukiyajua hayo ukikaa na wasiojua mpira unapewa hadi ukocha.Kuna hili la "Kukabia juu"[emoji23][emoji23][emoji23]
umesahau na DIAGONAL PASS🤣🤣🤣Mkuu umesahau "PENETRESHENI PASI"[emoji23]
Hahaha mkuu umetisha sanaumesahau na DIAGONAL PASS[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mzee kama kuna yule madogo wa wasafi hance Rafael na kuna mwingine hiv,afu kuna yule wa clouds farhan huyu akianza kutaja timu za kihispaniola na kitaliano,na misemo ya waitaliano ndio utajua ujui😂😂😂😂😂Hahaha mkuu umetisha sana
Hayo ni maneno ya wachambuzi wa mchongo.
Yaani taabu tupu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] maneno ya football hayo ukiyajua hayo ukikaa na wasiojua mpira unapewa hadi ukocha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahNdo alivyoandika?.au bado unaendelea mkuu
Kazumari hajataka kumlipua Takadini, mbna kazi ndogo kumlipua Sope huyu atabaki kulia kwa Media na kuomba kazumari akamatwee. Hachelewi kujiliza huyu zeru zeru.Bin Kazumari ifikie wakati akubali tu kushindwa. Kamwe hawezi kushindana na huyu jamaa.
Maana hayo madongo yote kwa hao wachambuzi wa mchongo, chanzo ni yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie watu jaman, khaaaaaahYULE ASINGEKUWA NA KILEMA KILE ANGETUSUMBUA SANA, ASANTE MUNGU KWA KUMKANDIKA KOVU LA WAZI WAZI.
Unaposema Yanga ndio content..umeleta mahaba yako kwa Yanga..Binti kuzumari ni aina ya masamjo samjo tu kwenye football yetu nchini.
Anaikandia na kuiponda Yanga kwa kivuli cha kua eti yeye ni sauti ya wanyonge.
Kosa atalofanya Yanga wakifanya upande wa pili basi kutakua na nguvu mbili tofauti ya ku deal nalo.
Anajua kua Yanga ndio 'content' kwenye football ya nchi hii, Hivyo anatumia hiyo kama fursa ya yeye kujipatia 'kiki'.
Amekua akiikosoa sana Management ya Yanga hata kwenye vitu ambayo havina mantiki.
Uzuri wa Eng Hersi ni mtu smart sana,Tangu huyu binti aanze harakati zake za kutafuta ugali kupitia kwa kuisema Yanga jamaa hajawahi hata kumjibu au kuongea chochote zaidi ya kuandaa mikakati ya kuchukua makombe.
Umesahau na "OBVIOUS"umesahau na DIAGONAL PASS🤣🤣🤣
Na ule msemo... ile move na goal la hao strikers combineshenis yao sio kazi ya mwalimu bali ni juhudi binafsiUmesahau na "OBVIOUS"