Vita ya Haji Manara dhidi ya wachambuzi wa mchongo

Umesahau mikimbio
 
Bin Kazumari ifikie wakati akubali tu kushindwa. Kamwe hawezi kushindana na huyu jamaa.
Maana hayo madongo yote kwa hao wachambuzi wa mchongo, chanzo ni yeye.
 
Bin Kazumari ifikie wakati akubali tu kushindwa. Kamwe hawezi kushindana na huyu jamaa.
Maana hayo madongo yote kwa hao wachambuzi wa mchongo, chanzo ni yeye.
Bin Kazumari ana msimamo katika hoja zake, na nadhani pia ana vyanzo vyake hasa TFF. Hawa wana bifu lao binafsi ila sema na timu ya Haji inaingilia. Kazumari alianza na Haji tangu akiwa Simba, na akamfuata akiwa Yanga
 
Ukiisema vibaya Yanga kwa ubaya hata kama ni mbaya lazima uwe adui wa Manara, Anapenda sifa za ajabu
 
Bin Kazumari ifikie wakati akubali tu kushindwa. Kamwe hawezi kushindana na huyu jamaa.
Maana hayo madongo yote kwa hao wachambuzi wa mchongo, chanzo ni yeye.
Sasa hayo madongo yanafanya asipeleke mkate nyumbani kwa familia yake? Au ni maneno matupu tu ya mtu anaeishi mjini pia kwa kutumia domo lake kupayuka.
 
Sisi wenzenu wakati huo tunasikiliza mipira na wachambuzi redioni, tulizoea kusikia maneno ya kiswahili kama...

Kumimina majimaji au kumimina majalo
Kupiga kombora
Kulala yombo
Kupelekwa markiti
Kupigwa/piga darizi au kuvalishwa kanzu
Kupigwa telo
Kugawa vyumba
Kujitwisha mpira
Kibuyu kinalia
 
Bin Kazumari ana msimamo katika hoja zake, na nadhani pia ana vyanzo vyake hasa TFF. Hawa wana bifu lao binafsi ila sema na timu ya Haji inaingilia. Kazumari alianza na Haji tangu akiwa Simba, na akamfuata akiwa Yanga
Binti kuzumari ni aina ya masamjo samjo tu kwenye football yetu nchini.

Anaikandia na kuiponda Yanga kwa kivuli cha kua eti yeye ni sauti ya wanyonge.

Kosa atalofanya Yanga wakifanya upande wa pili basi kutakua na nguvu mbili tofauti ya ku deal nalo.

Anajua kua Yanga ndio 'content' kwenye football ya nchi hii, Hivyo anatumia hiyo kama fursa ya yeye kujipatia 'kiki'.

Amekua akiikosoa sana Management ya Yanga hata kwenye vitu ambayo havina mantiki.

Uzuri wa Eng Hersi ni mtu smart sana,Tangu huyu binti aanze harakati zake za kutafuta ugali kupitia kwa kuisema Yanga jamaa hajawahi hata kumjibu au kuongea chochote zaidi ya kuandaa mikakati ya kuchukua makombe.
 
Sisi wenzenu wakati huo tunasikiliza mipira na wachambuzi redioni, tulizoea kusikia maneno ya kiswahili kama...

Kumimina majimaji au kumimina majalo
KUpiga kombora
Kulala yombo
Kupelekwa markiti
Kupigwa/piga darizi
Kupigwa telo
Kugawa vyumba
Halafu mchezaji akipigwa push utasikia mtangazaji akisema "Imetumika chakula hapo" akimaanisha nguvu ya kumpush mchezaji mwingine.
 
Anaikandia na kuiponda au anasema ukweli ambao hatutaki kuusikia

By the way yanga mwenzenu huyo
 
Reactions: Tui
Low block pia.
 
Swedi Mwinyi - Mtambaa Panya
Sisi wenzenu wakati huo tunasikiliza mipira na wachambuzi redioni, tulizoea kusikia maneno ya kiswahili kama...

Kumimina majimaji au kumimina majalo
KUpiga kombora
Kulala yombo
Kupelekwa markiti
Kupigwa/piga darizi
Kupigwa telo
Kugawa vyumba
 
Ahahahahaha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…